Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Hapana nokia, ukiwa karibu na mtoto utayajua mengi kuhusu yeye na hata kama kuna analoyaficha basi ni machache sana. Kwa kiasi kikubwa utakuwa unajua.Subiri siku akute picha za member wa jf kwny simu ya mwanae ndio atakapozimia
Mimi mtaani kuna kabinti miaka miwili iliyopita kalikuwa kananiheshimu km mzazi wake sasa naona heshima imepungua kuja kufuatilia naambiwa kanapasuliwa na jamaa mmoja makamo yangu
Pia naelewa mazingira anayoishi. Si ya kujichanganya..so naelewa ninachoongea.