Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,578
- 94,879
Ni kweli mpendwa hali ya sasa inatisha.Ndugu kazana hivyo hivyo maombi kwasana Mungu atasaidia tu, miaka hiyo ke
tulijilea lakini kulikuwa shwari lakini sio sasa hali ni mbaya usichoke
Ni kweli mpendwa hali ya sasa inatisha.Ndugu kazana hivyo hivyo maombi kwasana Mungu atasaidia tu, miaka hiyo ke
tulijilea lakini kulikuwa shwari lakini sio sasa hali ni mbaya usichoke
Sio kumbana bali ni kuzidi kumwelimisha basi hakuna kuchokaUsiseme hivyo banaa. Kweli akifika 18 sitambana.
Elimu itakuwepo lkn mtoto akishaanza chuo basi anaweza akafanya mengi usiyoyajua. Ila kama ulimuwekea msingi mzuri hataharibika sana.Sio kumbana bali ni kuzidi kumwelimisha basi hakuna kuchoka
Hakuna kuchoka nikuongea na kuongea hakuna kunyamaza watoto wanakua wakiwa naNi kweli mpendwa hali ya sasa inatisha.
Msalimie NarumukMbona umeongea kwa kulipuka..lkn sasa????
Ndiyo hivyo ila wenye malezi hata akiwa chuo anakuwa vizuri, niliwahi ishi karibu na wanachuoElimu itakuwepo lkn mtoto akishaanza chuo basi anaweza akafanya mengi usiyoyajua. Ila kama ulimuwekea msingi mzuri hataharibika sana.
Ndo nani uyo Ngosha ?Msalimie Narumuk
Nitajitahidi kumnyoosha, hata kwa kiasi kidogo.
14 she is grownup alreadyThubutuuuu akutane nao huko huko kwa kificho. Sina uzungu huo!
Yupo njianiOngeza mwingine
Yupo njiani
Am trying...14 she is grownup already
Tell her everything
You have toAm trying...
Yes naongea nae sana tu mkuu. Natambua makosa niliyopitia so sitapenda aangukie humoYou have to
My mom was talking to my young sis
Akiwa ana miaka 13 i think very planely
It works na kusali sana
Mengine una muachia Mungu tu
BigupYes naongea nae sana tu mkuu. Natambua makosa niliyopitia so sitapenda aangukie humo
Yes unakuwa kauzu sometimes unamwambia kiutani lkn msg sent. Angekuwa mkubwa sana ingekuwa rahisi..she's just 14 hlf bado ana akili za kitoto.
Amen!Bigup
God will protect her!
We kiazi bora upige kimya maana hueleweki! Mara ujikatae kua hujaingiza mambo ya udini humu,mara ulete udini! Hueleweki!! Nadhani mimba changa ndio inayokusumbua,mimi na wewe aliyeumbuka ni nani? Si ulijikataa kua hukuleta udini ni kakwambia kasome comment yako #8 ukarudi hapa kama dada poa aliyenyimwa ujira wake?!hujielewi " wewe "" nakuasa tu usiwe unapenda kudandia Gari kwa mbele..utaumbuka kama hivi Mara hii nimesha kuwa sielwi nachokiongea ..?. empty set
Kwa msukuma ni ajabu kwa nani ni kawaida ?Kumbe ni kweli?
Tatizo ni nini?
Malezi?Mfumo wa maisha au vyakula?
Mawee mpaka wasukuma wameanza kusukumiana sijui 2050 itakuwaje!!!