Nadhani waTz wengi tumekua wavivu wakutafakari na hii inapelekea kuwa vipofu kwa mambo mengi yanayoizunguka jamii. Suala la watoto kushiriki ktk mapenzi ya jinsia moja limekua ni janga la Taifa ila watu hawataki kuliongolea kwa kina.
Ebu ujiulize mtoto wa miaka 12 amejifunza wapi kula TIGO ya mwanaume mwenzie ?? Jibu utalipata kuwa kuna watu wazima ambao wamekua wakiwageuza hawa watoto na ndipo hawa watoto hujifunza kupitia hao watu wazima na baada ya mda wanakua addicted na kukua na hiyo tabia hata wanapotimiza umri wa ujana.
Now days suala la kulana tigo kwa maboy imekua ni fashion sio tu kwa machokoraa bali hata wanafunzi na hata wafanyakaz na vitendo hivi vinafanyika in dark way kiasi ningumu kujua.
Leo hii tutawatazama hao watoto kama machokoraa ila ndio hao ambao badae hukua na hutoka ktk hali ya uchokora na kuishi maisha ya kawaida na hivyo kuilendeleza vitendo hivyo kwa watu wengine na kufanya kundi hili kukua na kukua.
********