Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,488
Hujui miwani inapouzwa?Hiyo miwani inauzwa wapi na mm nipate ya kupimia niniii
Hata hiyo ninii ukikuta imepigika ujue kosa la mwanamme.
Hujui miwani inapouzwa?Hiyo miwani inauzwa wapi na mm nipate ya kupimia niniii
Wewe itakua hujielewi sio bure! Soma comment yako #8 kisha urudi hapa kujikataa kua hujaleta mambo ya udini,wewe Jamaa kweli Tomaso ...hahaaa..nilikuwa sitaki kukujibu " kwa sababu sikutaka kupenda kuharibu huu Uzi ...na kuingiza maswala ya udini ..LA kini maswali yako yanaonyesha kuwa unauoungufu mkubwa mnoo wakile unachokiamini ....
endelea kusoma comments halafu baada ya hapo naomba " tuhame jukwaa ili kuepuka " kuwa kera watu wengine "" nilikuwa sina mood ya kukujibu lakini naona unatafuta sifa ....so kama mbwai mbwai tuWewe itakua hujielewi sio bure! Soma comment yako #8 kisha urudi hapa kujikataa kua hujaleta mambo ya udini,
Ndio maana nikakwambia unatatizo la utunzaji wa kumbukumbu.
Katoroka jelaAiseeee... imani hizi " ukifikaga mwezi mtukufu sihuwaga mnasema kuwa shetani anafungwa minyorolo" sasa hao Watoto nao vipi " au shetani wao " ametoroka"""?
Haya we zembea tu. Sio mashuleni tu hata majumbani wanaharibiwa..don't trust anyone even your relatives. Kuna mtoto dar alikuwa anafanyiwa kitu kibaya na baba yake mdogo, just imagine na tayari ameshaharibika hana uanaume tena.
Unaongea kitu usichokijua ila kwa vile ulianza kwa kejeli na kashfa basi wewe sio wakujibiwa bali ni wa kupuuzwa tu kama wapuuzi wengine coz hata ukieleweshwa ni kazi bure coz hutokubaliana na maelezo utakayo pewa pia huna uwezo wa kufahamu ikiwa kukumbuka tu ulichokiandika hukikumbuki..!!kwenye imani ya kiislam inaaminika kuwa mtume muhhamad mimtu wa uma wote " na ndiye mtume wa mwisho "" hivyo basii ni wazi utakuwa unakubaliana nami kuwa mtume wa uma wote anapoongea jambo basi ni mafundisho ya watu wote pasipo kujali kuwa wana muamini au Hawa muamini "" ........sasa basi hoja yangu ni hii"" hata kama ikiwa hao Watoto imani yao ni pinzani na uislam " hiyo haiharamishi " uhalali wa mtume kwao " wala hai haramishi uhalali wa mafundisho ya mtume kwao pia....."" MTUME anasema kuwa ikifika mwezi mtukufu shetani huwa ana fungwa minyorolo na means hushindwa kuweza kuzuia ushawishi wake wa kuyafnya maasi ya weze kutendeka ....""
so waweza kuniambia kuwa kauli hii haiwahusu watu ambao wanaimani tafauti na mtume " wakati tunaambiwa kuwa mtume ni wauma wote " wanao muamini na wsio muamini ....waweza kunaimbia kuwa maasi hayo yaliyofanyika kwa hao vijana yapo supported na nani wakati shetani ambaye huwa anaya support amefungwa minyorolo katika huu mwezi ....?? au shetani wapo wengi kiasi kwamba aliyepigwa minyorolo nimmoja ila wengine haijawezekana kukamatwa ..!?ndio maana tunaona hao Watoto wakiendelea kufanya maasi katika huu mwezi ...?
Kwanini usimfunge? Mtu kama huyo bado utamuita ndugu yako na kuendelea kushirikiana nae?Sasa hapo ndio umeshajua mtt tayari ndugu kishamharibu,unamfunga?!
Haya mambo mengine ni kumuomba Mungu tu yasikutokee
haha hahaaa ....Jamaa mwanzo si ulinishurutisha nijibu maswali yako mkuu "" ? ghafla imekuwa tena huwezi kunijibu " kwakuwa sina uwezo wakuelewa " so kwa mantiki hiyo unadai kwamba sistahiki kujibiwa "" hahaaa..Jf users kweli noma "" any way mkuu " tuachane na haya " kama kuna mahali niliwakwaza mnisameheUnaongea kitu usichokijua ila kwa vile ulianza kwa kejeli na kashfa basi wewe sio wakujibiwa bali ni wa kupuuzwa tu kama wapuuzi wengine coz hata ukieleweshwa ni kazi bure coz hutokubaliana na maelezo utakayo pewa pia huna uwezo wa kufahamu ikiwa kukumbuka tu ulichokiandika hukikumbuki..!!
Umeisoma hiyo comment yako #8 ? Umeona kua ulianzisha udini kwa ufinyu wako wakifikra wakati mada haihusiani na udini?endelea kusoma comments halafu baada ya hapo naomba " tuhame jukwaa ili kuepuka " kuwa kera watu wengine "" nilikuwa sina mood ya kukujibu lakini naona unatafuta sifa ....so kama mbwai mbwai tu
Kwanini usimfunge? Mtu kama huyo bado utamuita ndugu yako na kuendelea kushirikiana nae?
Nyie wa Chato tumieni hata torch.Mm nitajulia wapi malls kwetu chato mie!!!!
Analala lakini ukiwa karibu nae kama kuna chochote tofauti utagundua mapema. Kuna wazazi hawana time na watoto wao.Kwahiyo ww mwanao halali kwa ndg?!
Sasa mfano mm sasa hivi nmesafiri mwanangu kama yupo likizo inabidi aende kwa wazazi kama nina ndg wanaishi huko nafanyaje?!
Unamwomba Mungu.Kwahiyo ww mwanao halali kwa ndg?!
Sasa mfano mm sasa hivi nmesafiri mwanangu kama yupo likizo inabidi aende kwa wazazi kama nina ndg wanaishi huko nafanyaje?!
Haijakutokea wewe..sasa kwa taarifa baba wa huyo mtoto alitaka kumuua ndugu yake..mke ndio aliokoa jahazi. Sasa sijui hapo nani ana roho ngumu!Wanawake mna roho ngumu aiseeee
Unamwomba Mungu.
Ila ukarudi ukakuta kaharibiwa unafanyaje tena?Unamwomba Mungu?
Sasa utamwomba Mungu afanyeje tena wakati mtoto kaharibiwa na muharifu anajulika?