Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Wewe dada bila shaka una matatizo sio bure,naona ya mbele unayapeleka nyuma na ya nyuma unayapeleka mbele kisha unakuja kujifunga wewe mwenyewe! Nadhani uwezo wako wakupambanua mambo ni mdogo sana,naona unaandika mlolongo mrefuu sijui hata kama unajua unachokiandika lakini?
hujielewi " wewe "" nakuasa tu usiwe unapenda kudandia Gari kwa mbele..utaumbuka kama hivi Mara hii nimesha kuwa sielwi nachokiongea ..?. empty set
 
Sasa mtoto wa kike unamuonea aibu ww mama yake...unakuwa kauzu tu unamwambia

Sisi wakat tunakua home maza alikuwa kauzu sana yani saa nyingine tunakula mezani anatuambia kuhusu mambo ya ukimwi na wanawake utasikia akija mtu umempa mimba hapa ndio ukatafute nyumba ya kuishi,ukipata ukimwi unarudi kijijini

Mimi mwanangu wa kiume huwa namuuliza mambo yeye ndio anaona aibu anacheka
Yes unakuwa kauzu sometimes unamwambia kiutani lkn msg sent. Angekuwa mkubwa sana ingekuwa rahisi..she's just 14 hlf bado ana akili za kitoto.
 
Yes unakuwa kauzu sometimes unamwambia kiutani lkn msg sent. Angekuwa mkubwa sana ingekuwa rahisi..she's just 14 hlf bado ana akili za kitoto.

14 mkubwa huyo inabidi uwe muwazi tu hapo christmass mbili tu uanze kuona mabf nyumbani
 
Nadhani hana hata habari na yaliyotokea huko Chile.
hoja yangu ya msingi ni uwezekano wa maasi kuweza kufanyika mpaka mwezi mtukufu"" wakati mnaambiwa kuwa mwezi huu shetani huwa anafungwa minyorolo....jibu hoja acha kuruka ruka tu kama popcorn
 
hoja yangu ya msingi ni uwezekano wa maasi kuweza kufanyika mpaka mwezi mtukufu"" wakati mnaambiwa kuwa mwezi huu shetani huwa anafungwa minyorolo....jibu hoja acha kuruka ruka tu kama popcorn
Swala la kufungwa mnyororo ni swala la kiimani au la kufikirika tu.
Mnachoshana bure.
 
Thubutuuuu akutane nao huko huko kwa kificho. Sina uzungu huo!

Sasa mtoto akifikisha miaka 16 utamchapa?!

Vijana wenzie watakuwa wanakuja kumvuzia jirani utaona movement zake tu nyingii msg imeingia katafuta sababu aende nje
 
Back
Top Bottom