Hali ni mbaya sana kwa watu wa mwanza iwe wanaume au wanawake.
Nilikutana na dada mmoja wa kutoka mwanza hapa,yule dada alikuja kumtembelea mdogo wake wa kike ambaye aliolewa hapa dar.
yule dada alikuwa mzuri wa sura na figure,ni black beauty na namba nane hasa,nilimtokea tukakubaliana na nilimuheshimu sana sana,
Lakini tulipofika kwenye sita kwa sita alifanya mambo ya ajabu ambayo sikutegemea kabisa kabisa.
Tangu hapo nilimkimbia na namba yangu ya simu nilibadilisha.
Kwa hiyo nadhani hakuna mkoa wala dini ambao iko salama na mambo hayo,ni kipindi kigumu sana kwa malezi ya watoto wa jinsia zote.
Kukana na kusema kwamba sisi wa mkoa fulani au dini fulani hatuna mambo hayo ni kuupalilia na kuukuza huo mchezo kwenye jamii.
Kwanza hakuna dini inayoruhusu mambo hayo,hakuna mstari wowote kwenye biblia au msaafu ambao unaruhusu huo ushenzi iwe kwa mtoto wa kike au kiume.
Ni ushenzi,ushenzi,ushenzi kabisa,tuache huo mchezo na tufuatilie makuzi na michezo ya watoto wetu wa jinsia zote.