Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,351
HahahaaaajBalaa na Raia Hawatakaa Wakufungukie Michakato Yao Ila Daily Wanasonga Mbele We Unaendelea “ Ku Trust The Process Uko Pale Pale For Years “
HahahaaaajBalaa na Raia Hawatakaa Wakufungukie Michakato Yao Ila Daily Wanasonga Mbele We Unaendelea “ Ku Trust The Process Uko Pale Pale For Years “
Mmh hata hakua serious mkuu alikua ananizingua tu, ningehama kweli niwafate huko huko ushuaniUkipata hizo pesa hama kiwalani
Njoo huku mbezi beach upepo unapovuma
Napenda liveband au karaokeSinywagi pombe mkuu,mimi nikienda club au baa ujue nimeenda kula nyama choma,au nimeenda kuangalia live band.
Hy jamaa anadhani kila anaye enda bar bs ni mnywaji wa pombe!Kiroho mbaya
Ww mchokozi sanaMmh hata hakua serious mkuu alikua ananizingua tu, ningehama kweli niwafate huko huko ushuani
Take it easy maisha popote, au umenimind? Kama umemind Meza tikiti🏃♀️Ww mchokozi sana
Hahahaha..Kuna jamaa yangu mmoja yeye anakodiwa kwa ajili ya kuwaingilia wadada kinyume tu
Ndo kitu gani hicho?Mkuu habari ya watoto wangu naamini haihusiki hapa ila jua kabisa hapa mjini kuna watu wanafanya kazi za ajabu mno hivi unajua kuna watu wamekua matajiri kwa maana ya nyumba tatu gari na watoto shule nzuri kwa kua tu wapambe wa kina omar bakhresa..na kuwaletea gomba aina ya kangeta?
Kesha funga ndoa Katoliki huyo hawezi chomoa ....yani ale nyingine zoote za damu awasusie? Watamzingua vibaya sanaSaivi pesa inatafutwa legally na illegally. Ilimradi mkono uende kinywani, watoto waishi vizur na mamaa nae apendeze asitafute pesa kwa wengine.
Kikubwa ni wasikamatwe tu. Huyo wa polisi mwambie tu asijihusishe kwenye mauaji. Pesa zingine achukue tu.
Leo ndio nimegundua I'm too decent for this City lifeMchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator anacheza nayo hadi anakojo.
Mchizi wa Pili anakaa Sinza kajaa mbaya gym muda wote ila jamaa hela ya kula haimpigi chenga na bia mbili tatu na misele kwenye vitz yake tumepiga mtungi akaniambia mwanangu mi huwa naitwa kwenye massage karibu zote za Sinza wamama wakitaka massage au kuliwa au threesome napigiwa simu fasta tukibargain naingia mzigoni.
Master Mwingine mjanja kabisa wa Mjini yeye mishe zake yeye anatafuta matajiri anawaonyesha milango na furniture kali sana then anavuta advance anenda mwenge pale analamba mafundi anaingia site cha juu chake yeye sio fundi wala hajui lolote.
Mchizi wangu mwingine anatengeneza dawa za mchwa na kuuza na ana mzigo wa kutosha, nyumba na ndinga.
Mwingine ananunua mabati ya kawaida anafuta nembo yake halafu anapiga muhuri mwingine wa kampuni maarufu maisha yanaenda.
Mwingine ana washkaji maaskari wakienda kukamata magendo bagamoyo na yeye anaenda nao wanagawana noti kama na yeye ni askari.
Mwingine dah tuishie hapo ila hawa wote ni washkaji, tunakula nao monde, wanavaa safi wa mjini kabisa ila huezi jua anafanya nini mpaka mshibane.
Somo ni kwamba unaeza fanya kazi yoyote na bado ukaishi lifestyle unayotaka tupambane sana na usimuige mtu matumizi hujui kazi zake.
Updates:
1.Pia zamani kidogo kuna dawa flani za malaria zilikua zinauzwa kwa wacongo vibaya mno kule Kariakoo. Nafkiri ni SP zinaenda tengenezea Carolite..
2.Kuna washkaji wawili nawajua mmoja anafanya kazi kabisa na mwingine brazamen sana hapa sinza hawa jamaa wanaishi na wanawake wakali sana na hawa mademu wamezaa nao..sasa cha ww kushangaa ni kwamba hawa madem wanajiuza kabisa ile style ya ma mido...yani unacheki na mido..then wanaenda liwa ...jamaa wanajua...na some part ya maisha yao...wanavuta hela kwa hao ma wife wao...na washkaji woote tunajua na hatuongei...
kajipangeLeo ndio nimegundua I'm too decent for this City life
Hata sexy toys ni uhalifu kwa mujibuwa sheriaKwa kifupi "ukiacha wa sex toy" wengine wote ni wahalifu........
Nope I'd rather maintain my decency than live dirty..kajipange
Sidhani kama sex toy ni biashara halali pia...Kwa kifupi "ukiacha wa sex toy" wengine wote ni wahalifu........
😅😅😅😅😅 ...