Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

Nikupe mkono tushindane siyo? Mkuu huniwezi kipesa wala kisiasa😂😂
Unanipima kisiasa? Mi sio nyoka bana! Kipesa sikuwezi najua long time...njoo nikuonyeshe dark world..the underwold..thrievieng na utakayofurahi...nikushike mkono mtaani..kibingwa kabisa...ukija uje na mwili na roho akili iache hukooo masaki yenu..! Usisahau mi sio mswahili..usitegemee tandale,sijui temeke au tandika usela sina njoo uone the other side of the wall.....
 
Masaki? Nani anakaa huko sasa mi nipo Buza huku, dark world? How did you know it?
 
Mkuu habari ya watoto wangu naamini haihusiki hapa ila jua kabisa hapa mjini kuna watu wanafanya kazi za ajabu mno hivi unajua kuna watu wamekua matajiri kwa maana ya nyumba tatu gari na watoto shule nzuri kwa kua tu wapambe wa kina omar bakhresa..na kuwaletea gomba aina ya kangeta?
Cc: juma lokole
Cc:issa azma
Cc:baba levo
 
Kuna mwanangu huku porin ninapoishi ukihtaji kitu chochote cha magendo au cha matumiz ya nyumbn anakuletea

Kuna siku wamwela walikuja na gar yao wakawa wanamuulizia kuwa wamataka mirungi gunia 10 zipelekwe bongo kwa gar ya police
Jamaa aliingia upepo akawa mdogo ila baada ya kumueleza kuwa hawajaja kumchoma jamaa akatoa mirungi ikapigwa kwa gar ajapewa chake maisha yakaendekea
Huyo mshikaji labda roho ya binadamu tu ndio hana ila kila kitu utapata
 
Pesa itafutwe kwa mjia yoyote,jana nilikuwa pale tiptop club nabado nilidharaulika kwa kijipesa changu cha lk3dadeq
Kale kasehemu kalikuwa la kawaida ola siijui jamaa kaenda kuroga wapi mpaka pamekuwa vile?

Wahuni wa mjini walifanya vyumba pale kuwa Shamba la bibi; ilikuwa tunafanya booking saaa sita usiku alafu tunalala siku mbili
 
Back
Top Bottom