Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

Mkuu habari ya watoto wangu naamini haihusiki hapa ila jua kabisa hapa mjini kuna watu wanafanya kazi za ajabu mno hivi unajua kuna watu wamekua matajiri kwa maana ya nyumba tatu gari na watoto shule nzuri kwa kua tu wapambe wa kina omar bakhresa..na kuwaletea gomba aina ya kangeta?
Ndo kitu gani hicho?
 
Saivi pesa inatafutwa legally na illegally. Ilimradi mkono uende kinywani, watoto waishi vizur na mamaa nae apendeze asitafute pesa kwa wengine.

Kikubwa ni wasikamatwe tu. Huyo wa polisi mwambie tu asijihusishe kwenye mauaji. Pesa zingine achukue tu.
Kesha funga ndoa Katoliki huyo hawezi chomoa ....yani ale nyingine zoote za damu awasusie? Watamzingua vibaya sana
 
Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator anacheza nayo hadi anakojo.

Mchizi wa Pili anakaa Sinza kajaa mbaya gym muda wote ila jamaa hela ya kula haimpigi chenga na bia mbili tatu na misele kwenye vitz yake tumepiga mtungi akaniambia mwanangu mi huwa naitwa kwenye massage karibu zote za Sinza wamama wakitaka massage au kuliwa au threesome napigiwa simu fasta tukibargain naingia mzigoni.

Master Mwingine mjanja kabisa wa Mjini yeye mishe zake yeye anatafuta matajiri anawaonyesha milango na furniture kali sana then anavuta advance anenda mwenge pale analamba mafundi anaingia site cha juu chake yeye sio fundi wala hajui lolote.

Mchizi wangu mwingine anatengeneza dawa za mchwa na kuuza na ana mzigo wa kutosha, nyumba na ndinga.

Mwingine ananunua mabati ya kawaida anafuta nembo yake halafu anapiga muhuri mwingine wa kampuni maarufu maisha yanaenda.

Mwingine ana washkaji maaskari wakienda kukamata magendo bagamoyo na yeye anaenda nao wanagawana noti kama na yeye ni askari.

Mwingine dah tuishie hapo ila hawa wote ni washkaji, tunakula nao monde, wanavaa safi wa mjini kabisa ila huezi jua anafanya nini mpaka mshibane.

Somo ni kwamba unaeza fanya kazi yoyote na bado ukaishi lifestyle unayotaka tupambane sana na usimuige mtu matumizi hujui kazi zake.

Updates:
1.Pia zamani kidogo kuna dawa flani za malaria zilikua zinauzwa kwa wacongo vibaya mno kule Kariakoo. Nafkiri ni SP zinaenda tengenezea Carolite..

2.Kuna washkaji wawili nawajua mmoja anafanya kazi kabisa na mwingine brazamen sana hapa sinza hawa jamaa wanaishi na wanawake wakali sana na hawa mademu wamezaa nao..sasa cha ww kushangaa ni kwamba hawa madem wanajiuza kabisa ile style ya ma mido...yani unacheki na mido..then wanaenda liwa ...jamaa wanajua...na some part ya maisha yao...wanavuta hela kwa hao ma wife wao...na washkaji woote tunajua na hatuongei...
Leo ndio nimegundua I'm too decent for this City life
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom