Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

Saivi pesa inatafutwa legally na illegally. Ilimradi mkono uende kinywani, watoto waishi vizur na mamaa nae apendeze asitafute pesa kwa wengine.

Kikubwa ni wasikamatwe tu. Huyo wa polisi mwambie tu asijihusishe kwenye mauaji. Pesa zingine achukue tu.
 
Kuna watu enzi za kikwete nawafahamu waliajiriwa na tajiri mmoja Wao kazi yao nikuteka, kuua, kulawiti na kila aina ya uchafu wanafanya Wao na wanahela balaa sijajua Kama wapo Mpaka Sasa hivi
Una uhakika ni nyakati hizo??
 
Back
Top Bottom