Watoto wa Mjini Dar

Ignorant threads getting ignorant posts, what irony.

Although the post is disgustingly divisive, careful observers will not be wasted on the intriguing poetic justice, if that is any consolation.

and ignorant posts gettting ignorant comments, from ignorant slave africans who think writing/speaking complicated english is civilization....what irony!!!
 
and ignorant posts gettting ignorant comments, from ignorant slave africans who think writing/speaking complicated english is civilization....what irony!!!

The irony of ironies is that your post pounding on English worshipping African slaves is written in... guess what.... English!

I guess we are in the same boat, or rather "slave ship".
 
The irony of ironies is that your post pounding on English worshipping African slaves is written in... guess what.... English!

I guess we are in the same boat, or rather "slave ship".

I just wanted to make sure.... u... honarable Pundit will understand ... coz it seems like kiswahili is a "foreign" thing to u....... honorable!!!!!!
 
Mkibeza wakuja sana mtabeza mpaka baba zenu, wangapi baba zao wamezaliwa mjini hapa?
 
Wabongo wakipata 'exposure' kidogo wanasumbua kinyama..hii thread ni mfano hai kabisa..wadhungu wanaita 'typical'..
 
Najua ni sehemu ya siasa lakini Mods we need something for a change at least for a weekend then mnaweza kuihamisha jumapili ikisha

Haya watoto wa mjini hebu tuambieni kuna sehemu inachai nzuri kama K-TEA SHOP?

Najua kuna watu na wake zao wana ugomvi kila kukicha kisa hawanywi chai home

Mkuu post zako bwana sometime zinafurahisha sana.........Hongera lakini!!!
 
Hapa hamna baba wa mtu yoyote, sisi kwa sisi tu nothing personal wa mjini wa mjini wakuja wa kuja kama ninamuelewa vizuri GT,

Keep our babas out of this!, GT lete vitu mwanangu!
 
Kuonesha busara ni kipimo cha busara aliyonayo mtu..and the negation is also true...
 
Kama wamjini wa mjini, wa kuja wa kuja, hata baba wa mjini wa mjini, wa kuja wa kuja.

It is a fact that if you want to embrace, embrace it wholly, if you want to dismiss, dismiss it wholly.

Kwa hiyo ukibeza wa kuja kama baba yako wa kuja unambeza.

Hapa tunaoweza kusema wa mjini tutabaki sie tulio na mizizi direct katika familia zilizoona Azania Front inajengwa 1899, wenye great grandfathers waliokuwepo eneo la Mzizima (siyo shule mind you) kabla ya Dar-es-salaam kuwapo, circa 1864 na kurudi nyuma huko, waliokula viazi vya Kinyasini (unakujua Kinyasini wewe?) babu zao waliokuwa na nyumba Kariakoo miaka hiyoooooo, bibi zao waliokulia Misheni Quarters (thanks Fundi Mchundo for bringing this important neighbourhood in this discussion) mama zao waliosoma Kitchwele (unapajua Kitchwele?) watu waliojifunza kuhesabu hapo Mwembetogwa (unapajua Mwembetogwa?)

Lakini pamoja na umjini wote huu siwezi kudiss wakuja kwa sababu ni ndugu zangu na bila wao mimi nisingekuwepo hapa.

Kama alivyosema Pac

What can I say, I wouldn't be here today
If it wasn't for the old school...

Kwa hiyo washua waliosoma Alliance na Tabora Boys huko wakitokea madongo kuinama big up.Wasiojua kula chapati kwa mchuzi kama kaka Ditto pale Saigon big up vile vile, waliokuja mjini watu wazima na kutuendeshea serikali kama kina Nyerere na Malecela big up.Walioonyesha umakini kuliko hata hao watoto wa mjini wenyewe big up.
 
Last edited:
Kama wamjini wa mjini, wa kuja wa kuja, hata baba wa mjini wa mjini, wa kuja wa kuja.

It is a fact that if you want to embrace, embrace it wholly, if you want to dismiss, dismiss it wholly.

Kwa hiyo ukibeza wa kuja kama baba yako wa kuja unambeza.

Wasiojua kula chapati kwa mchuzi kama kaka Ditto pale Saigon big up vile vile, waliokuja mjini watu wazima na kutuendeshea serikali kama kina Nyerer na Malecela big up.Walioonyesha umakini kuliko hata hao watoto wa mjini wenyewe big up.

waja leo warudi leo hawajui kula chapati kwa mchuzi?! receive big ups from 'pandait' vile vile
 
Hii thread ina posts za maana haswa kwa watu kukumbushie enzi na matukio yaliyopita.. Lakini imeboa pale watu wanapoanza kurusha kashfa za rejareja tena wengine ni watu niliodhani ni wa kuheshimika kabisa hapa JF..ndo maana nikasema..

Kuonesha busara ni kipimo cha busara aliyonayo mtu
 
PUNDIT,anasema kweli,kuwa mtoto wa mjini,inategemea wewe ni generation ya ngapi kuwepo mjini,nilimuuliza GT mwanzoni yeye ni generation ya ngapi mjini,there was no answer.ndio maana tukisema marehemu DITO ni mtoto wa mjini,we are spot on.Mimi kuzaliwa OCEAN ROAD does not make me mtoto wa mjini,maadam daddy alikuja na train au mwenge whatsoever makes me wakuja.
 
Lakini pamoja na umjini wote huu siwezi kudiss wakuja kwa sababu ni ndugu zangu na bila wao mimi nisingekuwepo hapa.

Kama alivyosema Pac

What can I say, I wouldn't be here today
If it wasn't for the old school...

Kwa hiyo washua waliosoma Alliance na Tabora Boys huko wakitokea madongo kuinama big up.Wasiojua kula chapati kwa mchuzi kama kaka Ditto pale Saigon big up vile vile, waliokuja mjini watu wazima na kutuendeshea serikali kama kina Nyerere na Malecela big up.Walioonyesha umakini kuliko hata hao watoto wa mjini wenyewe big up.

Jamani, haka ka-Pundit kana akili, jamani! Si hako ka-inglish tu bali kichwani zimepanda vibaya mno!

Tukizungumzia watoto wa mjini basi tusiwasahau wale ambao babu zao walimpokea Ibn Batuta pale Kilwa Kivinje! Wakati huo Mzizima wanavua samaki wao tayari wana makasri, swimming pools n.k!
 
Haya watoto wa mjini hii mpya kazi kwenu ni ya week end,imetokea leo.

Ile mutoto NDAMA MUTOTO YA NG'OMBE (Ndama,al-maaluf Dalali wa magali pale Lumumba) na mwenzie aliye kuwa Lupango juzi juzi kwa wizi wa gari huku Arusha PAPA KIZAI ZAI (Mtanga) wamekamatwa na polisi na wapo Central toka asubuhi,wanashikiliwa kwa tuhuma za kutuma vijana wawili kwenda kuua na kuwaletea mwili wa ALBINO.
Vijana hao walitiwa nguvu na jeshi la polisi na baada ya kipigo kitakatifu walitaja watu walio watuma kupeleka mwili huo wa Mlemavu huyo.
Mpka saa nane mchana wa leo Vibosile hao walikua bado wanashikiliwa na jeshi la polisi,na licha ya kibano kikali waliendelea kukataa kwamba wao hawausiki kabisa na michezo hiyo LABDA KUNA MTU au WATU WANAJARIBU KUWAUNGANISHA NA MAKOSA HAYO.

Je huu nao ni utoto wa mjini?
 
Back
Top Bottom