Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 28,002
- 35,549
Wanataka mrithi wa kuendeleza jina/ukoo/kizazi.Huwa ni kwa nini wanaume wengi wanapenda mtoto jinsia ya kiume? Kwamba kuna kipi cha ziada wanatarajia?
Wanataka mrithi wa kuendeleza jina/ukoo/kizazi.Huwa ni kwa nini wanaume wengi wanapenda mtoto jinsia ya kiume? Kwamba kuna kipi cha ziada wanatarajia?
Na wewe umebakia kimya tu ?....huitaki damu yako ?broh mtoto atupwi...mfate mwana umuhudumie ..sio ujanja mtoto alelewe na baba mwingine wakati wewe upo
Na wewe umebakia kimya tu ?....huitaki damu yako ?
Watu ambao hawana akili Ni mzigo kwa kweli😂. Jinsia ya mtoto wa kiume asilimia 95 inatoka kwa Y ya baba. Then asilimia zilizobaki Ni siku za mwanamke (ratiba ya kufanya ngono)Kuna jamaa yangu yeye kapiga 4 kwa mke,akaona ajaribu ugenini matokeo hayakubadilika,akaona ampandishe cheo mkewe sasa hivi mtoto ana mwaka 1 tangu azaliwe na kufanya awe na watoto 6 wa kike kutoka kwa wanawake wa 3.
Pembeni huwa nasikia kuwa huwa anachepuka na kuoa ili ajaribu bahati ya kuchanganya jinsia lkn ndio hivyo.
Kuna mwingine tayari anao watatu,sasa yeye huyu akiona safu yangu ya ulinzi anaanza kuniomba nimpatie seminar.
Yote kwa yote mtoto ni mtoto,tujaribu na kujitahidi kuwapa malezi bora na stahiki ili kuwaepusha na mabaya ya dunia kadri iwezekanavyo.
NB:
Pamoja na mipango inayotajwa kuwa ni ya God,lkn mwanaume kumfikiria vibaya mwanamke eti kisa mnazaa jinsia moja tu siyo sahihi na siyo sawa kwani yeye ana xx wakati sisi wanaume ambao siyo mashoga tuna YX.
Ambia jamaa aache ujinga kuna wengine hawana hata huyo moja wa kumuita baba....anachukia na akati ndo uwezo wa mbegu zake? Mbeleni atajua kwanini Mungu aliamua kumpa mabintiHabari wanajamvi.!
Nina shemeji yangu amebahatika kupata mtoto wa 4 jana.
Watoto wote ni mabinti, inaonesha hakufurahishwa kabisa na matokeo hayo. Hata tabasamu lake usoni nikaona limepotea!! Hadi mkewe (sister) akanotice.
Huwa ni kwa nini wanaume wengi wanapenda mtoto jinsia ya kiume? Kwamba kuna kipi cha ziada wanatarajia?
10, 8, 3 na 1wana miaka mingapi...?
10, 8, 3 na 1wana miaka mingapi...?
Napambana mkuuMkuu vipi,una kwama.
Watimizie buana.
Hongera sana mkuu...uje utupe feedbackWeek hii nakasikilizia kafirst born kangu sijui atakuwa jinsia hipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wee umesemaa.Uzee wake utakuwa mwema sana, hajajua tu...
Mtoto wa kike humkumbuka mzazi kuliko wa kiume.
Watoto wa kiume ni kuendeleza familia tu kiuzao ila angejua mtoto wa kike deal sana, ni sisi ndo hatusahau makwetu na wazazi pia, wa kiume akioa tu majukumu huongezeka tena kwa usawa tuliomo naona hata malezi ya mtoto wa kike yana nafuu sana,, utahangaika kulea jembe lako then mwisho linakuwa shoga, bora usizae tu
Nadhani shida ni hapo kwenye kuendeleza jinaWanaume wengi tunapenda watoto kiume sababu ya kuendeleza majina ya ukoo,
--tunaona tumepata rafiki ambaye atakuja kutusaidia baadae kwa njia moja au ingine.
Lakini kumbe ndivyo sivyo..
Mtoto wa kike ndy mwenye mapenzi makubwa sana kwa baba yake kuliko mtoto wa kiume.
Mtoto wa kiume akishaoa anakuwa tayari anaona wazazi especially baba kwamba ni mzigo.
Mtoto wa kike hata akishaolewa lakini bado ataendelea kuwasidia wazazi wake especially baba..
Mtoto wa kiume ni wa mama
Mtoto wa kike ni wa baba.
Ukwl mchungu.
Hata kwenye mahusiano pia wanaume tunaona mtoto wa kiume anakuwa kama rafiki,Nadhani shida ni hapo kwenye kuendeleza jina
Kinachotokea hapo ni kwamba mtoto wa kiume ukishaoa, inabidi upambane kujionyesha kwa WAKWE kwamba upo vizuri kifedha. So unakuta muda mwingi unatumia kuwafurahisha wakwe, mashemeji nk. Na usipokua makini wakwe na mashemeji wanaweza kukugeuza msukule ukajikuta unasahau kabisa mambo ya nyumbani kwenu!Mtoto wa kiume akishaoa anakuwa tayari anaona wazazi especially baba kwamba ni mzigo.
Mtoto wa kike hata akishaolewa lakini bado ataendelea kuwasidia wazazi wake especially baba..