mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,855
- 22,406
Ukweli mtupu mkuu.Kinachotokea hapo ni kwamba mtoto wa kiume ukishaoa, inabidi upambane kujionyesha kwa WAKWE kwamba upo vizuri kifedha. So unakuta muda mwingi unatumia kuwafurahisha wakwe, mashemeji nk. Na usipokua makini wakwe na mashemeji wanaweza kukugeuza msukule ukajikuta unasahau kabisa mambo ya nyumbani kwenu!
Kwa upande wa mwanamke yeye akishaolewa huo unakua ni muda wake wa KUVUNA na kwavile mara nyingi mwanamke hana majukumu mengi, basi ni rahisi kwake kuwakumbuka wazazi kwa kile anachopata.