Watoto wa form one kwenye somo la kemia huu mtambo unaitwaje?

Nishakutana na mtambo wa hivi kule masasi, wanatumia "kochoko".. Kilichokosekana kwenye huo mtambo ni maji tu for cooling..
 
Wengine bado tunasoma BASELINE hatujaanza masomo rasmi
 
Thread yako hawataiona form one kwa sababu wanafunzi hawaruhusiwi kuwa na cm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…