Watoto wa form one kwenye somo la kemia huu mtambo unaitwaje?

Nishakutana na mtambo wa hivi kule masasi, wanatumia "kochoko".. Kilichokosekana kwenye huo mtambo ni maji tu for cooling..
 
1549301003006.png
 
Thread yako hawataiona form one kwa sababu wanafunzi hawaruhusiwi kuwa na cm
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom