Sasa wewe si unajua uncle inaendana na ice cream, unategemea uwachemshie mihogo mikavu na wakuite uncle.
Umefulia mjomba, ukiwa na pesa utaitwa uncle.
HeeeeeeeMakubwa sana haya.....
Watoto ni wa kweli na wananotice vitu haraka sana.Watoto wa dada kubadili jina ghafla imenistua sana
Siku wakikuita ndugu yake na mama usishangae
Tena mbele ya mama yao wanauliza mama mbona mjomba anakula kwetu kila siku?Siku wakikuita ndugu yake na mama usishangae
Pesa inanguvu, inaweza kubadilisha kitu...au ujaona binti anamuita babu 'baby'...Hawa watoto siwaelewi kwa nini niitwe mujomba
Hivi kuna likizo fupi ya shule?Wakuu
Hili swali najiuliza watoto wa dada yangu hawa nawapenda sana na zamani nilipokua naishi mjini nilikua nawapeleka beach na mara kadhaa kwenda sehemu kula hata burger sasa ajabu hii
Toka nimerudi kijijini na mambo kwenda ndivo sivyo watoto hawa wa dada wananiita mjomba hivi nataka nimweleze Dada tatizo ni nini?
Binafsi napenda waendelee kuniita uncle mambo ya mjomba sitaki kuyasikia kabisa.
Watoto ni wa kweli na wananotice vitu haraka sana.
Pesa inanguvu, inaweza kubadilisha kitu...au ujaona binti anamuita babu 'baby'...
Ukiwa mnene una pesa utaitwa big, ukiwa huna utaitwa bonge.Wakuu