Kweli kabisaTatizo
1. Pesa
2. Pesa
3. Pesa
Niendelee au niishie hapa
Ndo wanakuja kuzaa akina Erythrocyte na Lucas mwashambwaHawa ndio baadae wanakuja kuzaa watoto ambao wanakuja kulisumbua taifa.
Mkuu naona unaulizia machimbo kijanjaToo general, ulitakiwa ueleze vizuri ilimamlaka sisaidie.. wapi yanafanyika mambo hayo, maeneo gani yameadhirika zaidi
Tamaa ya pesa za haraka haraka(kitonga)Tatizo
1. Pesa
2. Pesa
3. Pesa
Niendelee au niishie hapa
Mamlaka zimeajiri VIPOFU?Too general, ulitakiwa ueleze vizuri ilimamlaka sisaidie.. wapi yanafanyika mambo hayo, maeneo gani yameadhirika zaidi
na ndipo tatizo linapoanziaKuwalea mabinti nnje ya misingi ya dini ni sawa na kukimbiza upepo