AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Uhakika wa kwamba angekua mjini angekua anakula raha ungetoka wapi?!Kukaa kijijini kunamkosesha raha ipi haswa kama analelewabila manyanyaso?!Kuona magari?!Huyo baba angemlea mwenyewe nyumbani au angemwacha na mama wa kambo/mfanyakazi?!Una uhakika gani kama ndivyo angelelewa vizuri?!
.
Wewe Babygal hivi bila kuenda mbali.... wewe ungelelewa kijijini completly ungekua na exposure ya kua na access ya JF hapa saizi??
Binafsi nililelewa kijijini na bibi yangu na kaka yangu akalelewa mjini ila sikuwahi kumuonea wivu au na mimi kutaka kuhamia mjini.Na nilipoulizwa nilikataa even though nilikua naenjoy kufanyiwa kila kitu na wafanyakazi nikienda likizo bado niliyapenda zaidi maisha ya kijijini.Sehemu ambayo nilikua huru kucheza barabarani bila kuogopa magari,kucheza na watoto wengine kwasababu hakukua na mageti ya kufungiwa ndani na pia kujifunza vitu ambavyo watu wa mjini hawana muda navyo.
.
Hizo circumstances za kijijini zilikuaje?? Majority inajulikana kabisa akisema kijiji... ni kijijini kweli... huyo mtoto alotolewa mfano hapo, huyo mamake unafikiri kweli anajali welfare ya mtoto kama inavo onesha dhahiri wewe ulikua unalelewa?? labda utuambie ni kitu gania kilifanya uamuzi wa kulelewa wewe huko ulikua ni upi/ au kwa nini??