Watoto 19 wafa kwenye disco la Idi Tabora

Kikwete mourns Tabora disco victims
Daily News; Thursday,October 02, 2008 @15:21

My Take:
This is big, this is huge, this is absolutely insane. I'm so maad. Huu sasa ni uhuni. Hii ni mamilioni ya fedha za adhabu. NSSF na mabilioni waliiyonayo wanatoa Shs. 500,000 Really (yaani dola 500 hivi). Hivi watanzania wanajua kiasi kilichotumika kwenye utalii wao juzi New York? Kweli ndio thamani ya watoto wetu hii na ndiyo dalili ya uchungu?

You know what this reminds me of? Kesi ya Ditopile na jinsi wakuu walivyoanza kujitokea na kutoa pole na rambirambi.. tegemea the same Tabora.

Mkuu Mwanakijiji kweli mimi nipo tofauti na mambo mengi sana yanayofanywa na serikali hii ya awamu ya nne ukitaka ushahidi angalia post zangu. Ila Mkuu kwa hili huna jipya!Rudia kusoma hii habari kwa makini alietoa hizo laki 5 ni JK sio NSSF. Au kama nimekosea nifahamishe"hoja hujibiwa kwa hoja"
 
Ukumbi wa mikutano leo wa disco wazazi lazima wanafahamu!wewe huwezi kumpa pesa mwanao akaingie sehemu ambayo huifahamu?au huna watoto nini MKJJ?

back to "Mwanakijiji" mentality! na hii "lazima wanafahamu" sijui imetoka wapi. Mtu akisema kuna disco kwenye "Ukumbi X" ambao umekuwa ukitumika mara nyingi na watoto wanaenda na kurudi salama wazazi na jamii inakubali kuwa ni ukumbi fulani; hasa kama ikitangazwa kwenye vyombo vya umma au ulioko kwenye jengo kama la NSSF. Sijui ni wazazi wangapi walitakiwa waende kuuchunguza ukumbi na kuhakikisha ni kweli wa disco! Unataka kuwapa wazazi mzigo wasioustahili.
 
Mkuu Mwanakijiji kweli mimi nipo tofauti na mambo mengi sana yanayofanywa na serikali hii ya awamu ya nne ukitaka ushahidi angalia post zangu. Ila Mkuu kwa hili huna jipya!Rudia kusoma hii habari kwa makini alietoa hizo laki 5 ni JK sio NSSF. Au kama nimekosea nifahamishe"hoja hujibiwa kwa hoja"

ungechukua muda kusoma heading na habari hadi mwisho ungethubutu kufuta kauli yako. Nitakusaidia soma inasema h i v i :

The National Social Security Fund (NSSF), owners of the building that housed the club, have also promised to give 500,000/-
 
Kikwete mourns Tabora disco victims
Daily News; Thursday,October 02, 2008 @15:21

My Take:
This is big, this is huge, this is absolutely insane. I'm so maad. Huu sasa ni uhuni. Hii ni mamilioni ya fedha za adhabu. NSSF na mabilioni waliiyonayo wanatoa Shs. 500,000 Really (yaani dola 500 hivi). Hivi watanzania wanajua kiasi kilichotumika kwenye utalii wao juzi New York? Kweli ndio thamani ya watoto wetu hii na ndiyo dalili ya uchungu?

You know what this reminds me of? Kesi ya Ditopile na jinsi wakuu walivyoanza kujitokea na kutoa pole na rambirambi.. tegemea the same Tabora.

Mkuu Mwanakijiji kweli mimi nipo tofauti na mambo mengi sana yanayofanywa na serikali hii ya awamu ya nne ukitaka ushahidi angalia post zangu. Ila Mkuu kwa hili huna jipya!Rudia kusoma hii habari kwa makini alietoa hizo laki 5 ni JK sio NSSF. Au kama nimekosea nifahamishe"hoja hujibiwa kwa hoja"
 
Kikwete mourns Tabora disco victims
Daily News; Thursday,October 02, 2008 @15:21

My Take:
This is big, this is huge, this is absolutely insane. I'm so maad. Huu sasa ni uhuni. Hii ni mamilioni ya fedha za adhabu. NSSF na mabilioni waliiyonayo wanatoa Shs. 500,000 Really (yaani dola 500 hivi). Hivi watanzania wanajua kiasi kilichotumika kwenye utalii wao juzi New York? Kweli ndio thamani ya watoto wetu hii na ndiyo dalili ya uchungu?

You know what this reminds me of? Kesi ya Ditopile na jinsi wakuu walivyoanza kujitokea na kutoa pole na rambirambi.. tegemea the same Tabora.

Mwanakijiji

Wangetoa kiasi gani ili iwe ndio "thamani" wa watoto wetu waliokufa?
 
Last edited:
Mkuu Mwanakijiji kweli mimi nipo tofauti na mambo mengi sana yanayofanywa na serikali hii ya awamu ya nne ukitaka ushahidi angalia post zangu. Ila Mkuu kwa hili huna jipya!Rudia kusoma hii habari kwa makini alietoa hizo laki 5 ni JK sio NSSF. Au kama nimekosea nifahamishe"hoja hujibiwa kwa hoja"

Kwa mujibu wa vyombo vya habari ni kwamba JK katoa 500,000, NSSF nao wametoa 500,000 na uongozi wa mkoa wakatoa 50,000 kwa hiyo jumla nilivyoelewa mimi kila mzazi mwenye msiba wa mtoto atapokea sh 1,050,000. Lakini hela hizi hata zingekuwa nyingi mara ngapi, ni nini mbele ya kupoteza mtoto? Ndio maana nasema zaidi ya fidia yoyote ile inayoweza kutolewa, tatizo hili lishughulikiwe toka kwenye chanzo.
 
I refrain from ranting at the government in a manner rather akin to a paradoxical pursuit of philosophical puritanism.Spare me the sheer futility of the entire exercise.A quarter of a bread, while less than half one, is still better than none.When theoretically an infinite amount of bread is recompense, a quarter of a bread is infinitely better than an unrealizable infinite amount of bread.

As some esteemed members eloquently pointed out, the enterprise of assigning a monetary value to human life is but an elaborate and futile self inflicted bag of frustrations, any sane person in control of vital capacities would be expected to hastily refrain from such a doomed endeavor.

However, this does not spare the governments -central and local- of the responsibilities to protect and provide a general oversight on safety matters.

I often wonder how do we make it without major catastrophes in big cities like Dar and Arusha without the barest minimum in terms of firefighting utilities and infrastructure. Our high density planning -to be precise lack of planning- is a recipe for a major carnage, only providence averts the irreedimably unescapable!

So if I will lash at the government, it will not be because of the paltry sum -which, philosophical conundrums aside, in a nation with a GDP per capita hovering around $ 500 may not be so paltry after all- but I will fault the government for not being ahead of the game in disaster prevention.

We are taught about "humanity" being central to "our" political philosophy and that "money is just the end result".The government can get away with saying that the money is just a gesture, and however much was it going to give the sum would be negligibly inconsiderable.

If we want to use a monetary system, then suing the government for negligence and cause of death would be appropriate, along with the million of malaria victims.The vicious cycle in this is if successful - what a stretch for a thought experiment- the suits have the potential to bankrupt the government, produce a Zimbabwe like inflation and even more disco fires and an exponential rise in malaria cases.

Of course, free society advocates would beg to differ in that private citizens may be able to provide social services and run the economy much better in Tanzania.

But that is a PhD thesis I am not ready to tackle.
 
nilikuwa tabora kwa wiki mbili, joto la tabora sasa ni kama 33degree, ni rahisi kabisa kuamshwa na joto usiku kama hujawasha feni au hujafungua dirisha, sasa hawa watoto ndani ya ukumbi huu hawakuwa na mtu mzima? hakuna aliyekuwa-ana-control mlango, feni, nk? hakuna ! HAKUNA! watoto wetu wamekufa kifo kibaya sana , ni matokeo ya taifa la rushwa linalojali ubinafsi kuliko chochote, aliyekuwa mlangoni akikata tiketi hakujali joto la mle ndani, hata aliposikia vilio vya watoto akaendelea kukata tiketi na kukusanya pesa. dj naye akendeleza kupiga muziki wa bongo mfleva hali watoto wetu wakijinyea na kufa kwa kukosa hewa

TAIFA LANGU NA WATU WANGU TUMRUDIE MUNGU!
 
I refrain from ranting at the government in a manner rather akin to a paradoxical pursuit of philosophical puritanism.Spare me the sheer futility of the entire exercise.A quarter of a bread, while less than half one, is still better than none.

As some esteemed members eloquently pointed out, the enterprise of assigning a monetary value to human life is but an elaborate and futile self inflicted bag of frustrations, any sane person in control of vital capacities would be expected to hastily refrain from such a doomed endeavor.

However, this does not spare the governments -central and local- of the responsibilities to protect and provide a general oversight on safety matters.

I often wonder how do we make it without major catastrphes in big cities like Dar and Arusha without the barest minimum in terms of firefighting utilities and infrastructure. Our high density planning -to be precise lack of planning- is a recipe for a major carnage, only providence averts the irreedimably unescapable!

So if I will lash at the government, it will not be because of the paltry sum -which, philosophical conundrums aside, in a nation with a GDP per capita hovering around $ 500 may not be so paltry after all- but I will fault the government for not being ahead of the game in disaster prevention.

We are taught about "humanity" being central to "our" political philosophy and that "money is just the end result".The government can get away with saying that the money is just a gesture, and however much was it going to give the sum would be negligibly inconsiderable.

If we want to use a monetary system, then suing the government for negligence and cause of death would be appropriate, along with the million of malaria victims.The vicious cycle in this is if successful - what a stretch for a thought experiment- the suits have the potential to bankrupt the government, produce a Zimbabwe like inflation and even more disco fires and an exponential rise in malaria cases.

Of course, free society advocates would beg to differ in that private citizens may be able to provide social services and run the economy much better in Tanzania.

But that is a PhD thesis I am not ready to tackle.

Man I love this one, I have printed it, for to me this is something I should be reading on paper not online (this tells how old my mind is getting, no?). A multifaceted observation it is. Gracias!
 
Nashangazwa habari kutoka Tabora ni ngumu kweli kufika. mablogu, na magazeti (kama ya Global Publishers) ambayo huchapisha habari haraka haraka hadi leo hii hawajaweka habari ya mauti hayo, so hasn't michuzi na wengine. What is going on?
 
Naomba jibu la swali langu....

yaani hawa wametoa hizo shilingi 1.500,000 ndio thamani ya watoto wetu hiyo? Watoto wetu hawana thamani! na kama ingekuwa ni kuonesha cupability Shs milioni moja na nusu hata haisogelei karibu. Ndio maana nimesema hii ni kesi ya mamilioni ya adhabu.
 
Halafu kesho akija kuwapa hela umchague unakataa unasema - ni rushwa unalalamika wakati umehalalisha huyo huyo kutoa pesa hizo -- hii ni rushwa
 
yaani hawa wametoa hizo shilingi 1.500,000 ndio thamani ya watoto wetu hiyo? Watoto wetu hawana thamani! na kama ingekuwa ni kuonesha cupability Shs milioni moja na nusu hata haisogelei karibu. Ndio maana nimesema hii ni kesi ya mamilioni ya adhabu.

How much....?
 
Back
Top Bottom