Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako.
Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa.
Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba alipopanga,wakaenda TANESCO KUJUA MITA NAMBA HIPO WAPI?.