Baabaaa tinaomba maji...Kama watu wa Dar wangekua na kauli juu ya mapato yanayotokana na mkoa wao, wangeweza kufanya maamuzi kuhusu hiliwtatizo. Kutoka wana katiba yetu ilivyo, kila kitu ni lazima tumpigie magoti Rais na ni kutoka na apendavyo yeye ndiyo mambo yanafanyika.
DRC=Democratic Republic of Chato.Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar.
Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati wa mvua.
Kama watu wa Dar wangekua na kauli juu ya mapato yanayotokana na mkoa wao, wangeweza kufanya maamuzi kuhusu hiliwtatizo. Kutoka wana katiba yetu ilivyo, kila kitu ni lazima tumpigie magoti Rais na ni kutoka na apendavyo yeye ndiyo mambo yanafanyika.
It should be Gbadolite the village where life president General Kuku Ngbendu wa Zabanga Mobutu Sese Seko was born.Gabolite
Baaba tunaomba daraja Jangwani baaaba!