Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

Ofisi za mabalozi ziko Dar
Watalii wengi wanaingilia Dar
Dat ina wakazi wengi wanaochangia kodi
Inasikitisha sana,Dar ndio inaingiza 70% ya pato la Taifa,palitakiwa pawe pana miundo mbinu bora sana.
Ila ndio ivo tena! 5 yrs migumu inatuhusu
 
Makonda alituahidi litajengwa "300m high" yaani mita mia tatu kwenda juu, mimi nasubiri kwa hamu. Sidhani hata marekani wamewahi kuwa na project kubwa kiasi hicho, jangwani itakuwa kitovu cha utalii.
Lengo lake lilikuwa badala ya abiria wanaosafiri kwa ndege hawatalazimika kwenda DIA wataweza kupandia au kuteremka hapo, ila ujue watanzania wengi vipimo hawavijui, kulikuwa na tangazo moja linahusu pampu za maji zenye urefu wa nchi mbili!
 
Kama watu wa Dar wangekua na kauli juu ya mapato yanayotokana na mkoa wao, wangeweza kufanya maamuzi kuhusu hili tatizo. Kutokana na katiba yetu ilivyo, kila kitu ni lazima tumpigie magoti Rais na ni kutoka na apendavyo yeye ndiyo mambo yanafanyika.
Na watu wa Chato wangesema watumie fedha kutoka mapato yao ya ndani barabara za lami wangeendelea kuziona Mwanza. Mapato yao kwa mwaka ni shilingi Bilioni 2.1 ila mpaka sasa miradi iliyowekezwa pale imetafuna zaidi ya shilingi Bilioni 122 (zile zilizopo kwenye taarifa rasmi).
 
Back
Top Bottom