Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,181
Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar.

Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati wa mvua.

1610543099795.png

1610543130524.png
 
Sawa umesikika ila bado tuna vipau mbele muhimu zaidi sehemu nyingine za nchi. Tukimaliza tutaelekeza nguvu zetu hapo Jangwani because of our very known limited resources
 
Kama watu wa Dar wangekua na kauli juu ya mapato yanayotokana na mkoa wao, wangeweza kufanya maamuzi kuhusu hili tatizo. Kutokana na katiba yetu ilivyo, kila kitu ni lazima tumpigie magoti Rais na ni kutoka na apendavyo yeye ndiyo mambo yanafanyika.
 
Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar.

Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati wa mvua.

DRC=Democratic Republic of Chato.
 
Kama watu wa Dar wangekua na kauli juu ya mapato yanayotokana na mkoa wao, wangeweza kufanya maamuzi kuhusu hiliwtatizo. Kutoka wana katiba yetu ilivyo, kila kitu ni lazima tumpigie magoti Rais na ni kutoka na apendavyo yeye ndiyo mambo yanafanyika.

Hapo Dar ni kwa watu waliozoeya kuishi kiujanja-ujanja so tumieni ujanja-ujanja kuyakwepa hayo maji kwasasa serikali ipo busy Chato.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom