Dawasco hadi siku ya sikukuu maji hamna?

oladipo

JF-Expert Member
Mar 8, 2022
1,432
2,291
Licha ya mvua kunyesha mfulululizo hadi kusababisha mafuriko baadhi ya sehemu.

Huwezi amini wakazi wa gongo la mboto na viunga vyake hatuna maji wiki ya pili sasa

Na hamna taarifa zozote mpaka sasa. Tulitegemea leo sikukuu labda maji yatatoka lakini hola.

Tuoneeni huruma watanzania wenzenu yaani na joto hili la dar ni tabu tupu.


Cc @dawasco

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom