Watanzania wengi sasa wamefunguka akili baada ya yale matukio. Nachoona sasa ni Mipango ya Mungu

Watanzania wengi sasa wamefunguka akili baada ya yale matukio. Nachoona sasa ni Mipango ya Mungu

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,384
Reaction score
3,057
Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna mvuto wala heka heka.

Hii ni ishara kuwa watanzania sasa wamekua na kukataa kutumika. Wamegundua kuwa hizi teams ni za kisiasa na zinatumika vibaya wao wakiwa kama chambo na kuonwa ni matutusa tu. Sasa sioni mabishano ya Simba na Yanga kabisa. Watu wamepevuka. Wamekua kiakili.
 
1769696481317.jpg
 
Ndivyo inavyotakiwa, wakati huu sio wakupumbazwa na mpira
 
Nafikiri kizazi Cha wazee wapumbavu kinaelekea kuisha (mtanisamehe Kwa hili) enzi nakua unakuta siku ya mechi ya Simba na yanga vizee vimejikusanya kwenye kijiwe cha kahawa eti vimekuja kusilikiza mpira wa dabi,unaona kabisa muonekano wao ni watu wamepigika kimaisha mpaka wanatia huruma ila Sasa huwaambii kitu kuhusu Simba na yanga,wanazitetea mpaka mishipa inawasimama,unajiuliza hawa watu wangetumia hizi nguvu za kushabikia Simba na yanga na wakaiwakia serikali pengine tungekuwa MBALI kimaendeleo kuliko hapa tulipo
 
Back
Top Bottom