Watanzania wanaokuboa

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,873
Wakati fulani marekani Robin Givens aliwahi kutajwa kuwa ndo the most hated woman in America, enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha Mike Tyson kuchanganyikiwa, hasa aliposema aliolewa na Tyson for money.

Any way hivi leo kwa hapa Tanzania ni nani ambaye tunaweza kusema ndo mtanzania anaetuboa zaidi? Tukiacha wanasiasa hasa wa CCM.
Kwenye upande wa burudani na jamii ni watanzania gani kama wapo unafikiri wana kuboa kupita kiasi?
 
the boss, vipi tena? Mbona 'ngumi' mkononi? Huyo jamaa naona alikurupuka!

yaa alikurupuka...
Nilianzisha thread ya my favourite tanzanians
so nikaona kama kuna watanzania tunaowakubali
kwa matendo yao,basi lazima watakuwepo wanaotuboa.
So naona jamaa hakuelewa....
 
wanamuziki wa kibongo wanani bore sana...wakifika marekani wanakuwa wabishi kuelewa alafu wanakuwa na attitude kwa sababu wako big time Tanzania.No wonder wanakosaga GIG wakija second time then wanaanza kupiga simu na kuomba msaada wa kupewa gigi....... apart from Ali Kiba na Mwanafalsafa...these two guys mayn mean business....Big ups to Kiba and MwanaF....
 
wanamuziki wa kibongo wanani bore sana...wakifika marekani wanakuwa wabishi kuelewa alafu wanakuwa na attitude kwa sababu wako big time tanzania.no wonder wanakosaga gig wakija second time then wanaanza kupiga simu na kuomba msaada wa kupewa gigi....... Apart from ali kiba na mwanafalsafa...these two guys mayn mean business....big ups to kiba and mwanaf....

wanamuziki wabongo tatizo exposure ndogo.
 
Mikaka na mibaba inayopende vitoto vidogo....kazi kuhonga na kuwamalizia madogo vyao!
 
Mikaka na mibaba inayopende vitoto vidogo....kazi kuhonga na kuwamalizia madogo vyao!

tamaa na umasikini vinachangia! mila potofu za 'kishirikina' hasa kwa wale wanaotafuta 'utjiri' kwani wwengi woo huamini watakuwa matajiri kwa 'kulala' na 'vitoto'
 
yaa alikurupuka...
Nilianzisha thread ya my favourite tanzanians
so nikaona kama kuna watanzania tunaowakubali
kwa matendo yao,basi lazima watakuwepo wanaotuboa.
So naona jamaa hakuelewa....

Didn't realize there was a secret code as to who we could or couldn't mention.
Kwenye upande wa burudani na jamii...
 
wanasiasa wa bongo wananiboa big time, i mean wote Zitto,Dr.Slaa,Anne Kilango,Mengi yaani wote.They don't know politics at all.
 
Back
Top Bottom