Watanzania wanaokuboa

1.wanamziki wa Bongo flavor woooote wanaboa hawako well organized ,hawajali time ,wanadhani wote tunapuliza bangi wakisema saa 3 wanapanda jukwaani saa saba .wanapaform ka song ka moja then wanakata kona
Sijui mawazo yao huwa wanadhani tumeingia bure??
Mwisho hawajui kuimba live katika majukwa ni bora usikilize miziki yao kwenye TV ,au redio
Hawa masupa staa wa movie za kibongo -- sitaki hata kuziangalia
 
Mie huwa sihudhurii matamasha yao, Ila ya mziki wa dance kwa sana tu
 
Watanzania wanaokashifu dini za wenzao kwenye mihadhara mbalimbali ya wazi na kubeza imani za wenzao badala ya kueleza uzuri au ukweli wa dini/imani zao.
 
Marin Hassan Marin wa TBC jamaa sijui huwa linaongeaje, mijitu mingine bwana, yaani nilikuwa nataka kuangalia interview ya elizabeth wa BBA ghafla nikaliona na stimu zote kwishney.
 
Hii ni kweli kabisa 100%;anarusharusha mikono hovyo, anapepesa kichwa kama vile ana taahira ya akili, hayuko serious kabisa na anamove left right and center
 
Hahaha! Umenikumbusha mtanzania anayekwenda kwa jina la Isack Muyenjwa Gamba wa ITV. Akiwa anamfanyia mtu interview huwa nahamisha channel!
 
a FOOL doesn't understand how 'IGNORE LIST TOOL' works, you are talking to yourself.. lolz

"Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt.”

‘‘Any fool can make things bigger, more complex, and more violent. It takes a touch of genius - and a lot of courage -to move in the opposite direction.’’
 
Naona unadandia treni za India kwa mbele..

Huo ujumbe ulitakiwa uuchukue wewe mwenyewe na kuufanyia kazi..Mr. Clueless..lolz.
 
Hahaha! Umenikumbusha mtanzania anayekwenda kwa jina la Isack Muyenjwa Gamba wa ITV. Akiwa anamfanyia mtu interview huwa nahamisha channel!

Tena jamaa anali sauti baya sijapata kuona, halafu hiyo TV personality zero, hapo ndio watu wengine tunaanzishaga ma speculation ya ajabu ajabu maana yule dada meneja si hana mume yule?
 
Marin Hassan Marin wa TBC jamaa sijui huwa linaongeaje, mijitu mingine bwana, yaani nilikuwa nataka kuangalia interview ya elizabeth wa BBA ghafla nikaliona na stimu zote kwishney.

vipi angekuwa ni ndugu yako?
 
Naona unadandia treni za India kwa mbele..

Huo ujumbe ulitakiwa uuchukue wewe mwenyewe na kuufanyia kazi..Mr. Clueless..lolz.
Unaweza ukadandia treni yoyote kwa mbele kama inarudi nyuma........ Usikariri. Inategemea direction.
 
Back
Top Bottom