Watanzania wanaokuboa

"Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt.”

‘‘Any fool can make things bigger, more complex, and more violent. It takes a touch of genius - and a lot of courage -to move in the opposite direction.’’

asante sana kwa kumuelimisha! huyo jamaa ni mbishi kama 'shipa'
 
Marin Hassan Marin wa TBC jamaa sijui huwa linaongeaje, mijitu mingine bwana, yaani nilikuwa nataka kuangalia interview ya elizabeth wa BBA ghafla nikaliona na stimu zote kwishney.

HAHAHA burn kwanini anakuboa ?
 
Tena jamaa anali sauti baya sijapata kuona, halafu hiyo TV personality zero, hapo ndio watu wengine tunaanzishaga ma speculation ya ajabu ajabu maana yule dada meneja si hana mume yule?

Hahaha! Mpwa bana. Kwa hiyo kwa kuwa hana mume ndiyo maana mapesonalite yanakuwa low au? Lile sauti la Gamba halimruhusu kuwa mtangazaji kama ethics zingefuatwa. Kabinti kangu kakimsikiliza anasoma taarifa ya habari huwa kanapiga chafya.
 
Treni nizijuazo mimi hazina mlango mbele wala nyuma. Ila sijakukataza kudandia, endelea. Mr. Clueless.

Ushauri potofu huo mtu wangu. Hahaha! Kama hajui kudandia itakuwaje? Manake kudandia sio ufundi ila ujanja.
 
Hahaha! Mpwa bana. Kwa hiyo kwa kuwa hana mume ndiyo maana mapesonalite yanakuwa low au? Lile sauti la Gamba halimruhusu kuwa mtangazaji kama ethics zingefuatwa. Kabinti kangu kakimsikiliza anasoma taarifa ya habari huwa kanapiga chafya.[/QUOTE]

kwa hiyo binti yako ana allergy watu mana visa ...
 
Treni nizijuazo mimi hazina mlango mbele wala nyuma. Ila sijakukataza kudandia, endelea. Mr. Clueless.
IF YOU REPLY MY POSTS, CHANCES ARE I'M NOT IN YOUR IGNORE LIST. Hapo ndipo unapoboa, yaani unamwita mtu "FOOL" at the same time "YOU REPLY HIS/HER POSTS". Dont you see that you are going against your own words... TENA WAZI WAZI...???? MTU WA NAMNA HII........ SIJUI TUMWITE NANI...??? and that is why I posted, "Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt".
 
Hahaha! Mpwa bana. Kwa hiyo kwa kuwa hana mume ndiyo maana mapesonalite yanakuwa low au? Lile sauti la Gamba halimruhusu kuwa mtangazaji kama ethics zingefuatwa. Kabinti kangu kakimsikiliza anasoma taarifa ya habari huwa kanapiga chafya.

Inawezekana Isack amejitolea kumtoa upweke ndio maana anaachiwa atusumbulie niece zetu kwenye redio na misauti yake kupigia ramli.
 
Treni nizijuazo mimi hazina mlango mbele wala nyuma. Ila sijakukataza kudandia, endelea. Mr. Clueless.
Hatuzungumzii treni unazozijuwa wewe tuuu. Zipo nyingi duniani. Halafu kudandia si lazima mlangoni..... popote pale unatia tim
 
Hivi ku-hate na kuboa ni sawa?

1. Hatred (or hate) is a word that describes the intense feelings of dislike. It can be used in a wide variety of contexts, from hatred of inanimate objects (e.g. vegetables, bicycles, tables, chairs, etc...) to hatred of other people, or even entire groups of people

2. Bore synonyms Not interest, Turn off, Weary, Bore to death, Boire stifff

Now can u love the somebody who bores u?
 
SI SAWA KABISA! Kuhate ni kuchukiza na koboa ni kuudhi. Naweza kukuboa lakini usinihate lakini nikikuhate basi nitakuboa daima.

WARNING FRM MODERATOR

Athletic- u must change your avatar within 15 days it has expired.
 
WARNING FRM MODERATOR

Athletic- u must change your avatar within 15 days it has expired.

Hahaha! Mpaka nitumie ile dozi yako ya kupunguza kitambi! Ntaweka picha yangu halisi ntakayoipigia pale kwenye gym yetu.
 
IF YOU REPLY MY POSTS, CHANCES ARE I'M NOT IN YOUR IGNORE LIST. Hapo ndipo unapoboa, yaani unamwita mtu "FOOL" at the same time "YOU REPLY HIS/HER POSTS". Dont you see that you are going against your own words... TENA WAZI WAZI...???? MTU WA NAMNA HII........ SIJUI TUMWITE NANI...??? and that is why I posted, "Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt".
Tatizo lako ni kuwa hujijui kuwa ni mpumbavu.

Ile meseji ilielekezwa kwa mpumbavu mwingine, specifically ilikuwa mahsusi kwake. ila ilikuwa ina mtego pia ndani yake. Na mtego ulilenga kuwatambua wapumbavu wengine pia. Nashukuru kuwa umesimama uhesabiwe.

From now on, u r in my list. Hongera! LOLZ
 
Back
Top Bottom