Watanzania wanaokuboa

Thanks Binti Maringo, i am also not exposed!!!:p

Mmh i am confused now...last time ulisema umeshakaa ulaya na marekani so you know what time it is...sasa inakuwaje leo unasema haupo exposed?....enlighten me please!.

Nitakuitia Johny English.....LOL!
 
Mmh i am confused now...last time ulisema umeshakaa ulaya na marekani so you know what time it is...sasa inakuwaje leo unasema haupo exposed?....enlighten me please!.

Samahani sikukuelewa, kama ni kwa hilo yes, ila huwezi kujua maana
I might been/lived in europe na umarekani lakini bado nikawa na exposure sufuri!!! maana kama nilikuwa jonny kisomo ndio mbaya kabisa!!!

Nitakuitia Johny English.....LOL![/FONT]

Hahahhaaaaaaaaa....:D Brace yourself for super english, we ngoja mwenyewe akusikie
 
Samahani sikukuelewa, kama ni kwa hilo yes, ila huwezi kujua maana
I might been/lived in europe na umarekani lakini bado nikawa na exposure sufuri!!! maana kama nilikuwa jonny kisomo ndio mbaya kabisa!!!

Lakini ina depend na exposure ya aina gani hapa tunaongelea...kuna watu wako ulaya na marekani for many years and still exposure ni zero hana tofauti na mtu ambaye hajawahi kutoka Kwend akokote zaidi ya kuzunguka mikoa ya Tanzania.

Hahahhaaaaaaaaa....:D Brace yourself for super english, we ngoja mwenyewe akusikie

Unadhani namuogopa basi yeye aje na combora lake la vocabulary miye nitamrudishia patriot...all in all JOhn English is a cool guy ana make sense sometimes you know.....i would really like to meet him some day hata for a cup of coffe you at starbucks....
 
Thanks BM, all the best in your mission to meet the guy!!:p
 
Thanks BM, all the best in your mission to meet the guy!!:p

No problem MTM!....Anytime!....aisee nina mzigo wangu pale Mufindi unaweza kunichukulia siku ukiwa unaenda pande ile?...

I guess inabidi niwe na dictioanry pembeni siku hiyo hahaha kazi kweli kweli...Abra Kadabra!.
 
Umeanza kauchokozi kako!!!

Mie niko Dar mazee, kule hupita kwa shuguli mbalimbali... tena na hii elnino ndio kabisaaa hadi next year

Tukirudi kwenye mada ya watanzania wanaoniboa... kwangu mimi ni wale wanaoishi bila vyoo hadi leo!!:( maana wanakata magogo nje kwenye vichaka
 
Wanaoniboa:
Edward Lowassa hajatulia unakuwa waziri mkuu halafu unataka kuiba..what more do u want sisi wabongo tukupe agh...
Samweli Sitta: Ndumilakuwili...anageuka geuka haeleweki
Kikwete: Anajipendekeza sana kwa jamii fulani (sipendi kuwataja), legelege
 
Kwanza kabisa ni huu utatu wa Rostamu,Mamvi na mzee wa Nanyumbu hawa ndo wametufikisha hapa tulipo yaani badala ya kufikiria na kutumia nguvu zetu kwa mambo ya maendeleo wao wametufisadi hadi nchi imesimama.unapozungumzia ustawi wa taifa letu hawa watatu wameturudisha kwenye enzi za mapinduzi ya Ufaransa yaani ni watu waliojawa na viburi kuwa bila wao hatutaishi na ni kweli tumeshuhudia midhoruba ya Dodoma loh
 
freeman mbowe nae ananiboa sana...anazusha mgogoro chadema katika kipindi hiki????
 
hao wanaojiita masuper star wa bongo wananikera sana, wakipata kimaendeleo au kibahati flani wanajiona wapo juu then muda kidogo tu ukipita utasikia mara anagombana na huyu mara amefilisika. Pia hao wanaojiita mamiss, wao leo ni miss TZ kesho anafanya ukahaba kugombania wanaume, ....mi wananiboa...
 
well well well. waTz wanaoniboa ni wengi sana wengine hata siwajui majina. Nway to be exact, karibu kila mTz ananiboa kwa sababu moja au nyingine.
 
well well well. waTz wanaoniboa ni wengi sana wengine hata siwajui majina. Nway to be exact, karibu kila mTz ananiboa kwa sababu moja au nyingine.

wewe unaboreka kwa 'tabia' yako mbaya! hauna lolote! kila kitu kukashifu tuuuuu....
 
wewe unaboreka kwa 'tabia' yako mbaya! hauna lolote! kila kitu kukashifu tuuuuu....

Umenisaidia, mmoja wa waTZ wanaoniboa ni wewe. Asilimia kubwa ya posts zako zina 0 input. Na nakupa hongera kuwa umeingia ktk list yangu. (soma signature yangu).
 
Umenisaidia, mmoja wa waTZ wanaoniboa ni wewe. Asilimia kubwa ya posts zako zina 0 input. Na nakupa hongera kuwa umeingia ktk list yangu. (soma signature yangu).

kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala! wewe endelea kuosha kinywa!
 
Orijino Komedi,wanaboa sana kwa sababu

1.Wanawadharirisha na kuwacheka walioshindwa kimaisha(waliofulia)
2.Creativity imeisha
3.Hawataki kusikiliza ushauri wa watu.
 
1. Wa bongo fleva, wakisema shoo inaanza saa 3 usiku, wao wanaingia saa 6 usiku.

2. Makampuni ya simu, wanasema "kujiunga na sms promosheni fulani ni bure, kumbe unalipia"

3. Mamiss TZ. Mamiss wooteeee wakishaukwaaa umisi basi wanawapiga chini maboifrendi wao wa zamani.

4. Ben kinyaiya, Maimatha Jesse na Dida wa kidole juu
 
a FOOL doesn't understand how 'IGNORE LIST TOOL' works, you are talking to yourself.. lolz
 
Back
Top Bottom