Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Wanabodi,

Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, rais Samia mwenyewe aliisha liweka vizuri kabisa ile siku anahojiwa na Salim Kikeke wa BBC, baada ya kuhojiwa kama atagombea urais 2025, rais Samia alijibu vizuri kabisa kuwa "kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana no one is shure kufika 2025", hivyo hata rais Samia aliposema 2025 tutamchagua mwanamke, hajamaanisha lazima mwanamke huyo awe ni yeye!. Hivyo ni busara kwa rais wetu Samia, hili la ugombea wa 2025, asilizungumze zungumze sana kwa sasa, ni vyema akaendelea na msimamo wake ule ule wa kwenye BBC kuwa ya 2025 tumuachie Mungu. Kwa sasa, rais aendelee ku deal na haya ya Kaizari, kwa kuchapa kazi na kazi iendelee na yale ya Kimungu tumuachie Mungu mwenyewe.

Paskali
Wenye kumbukumbu tunzeni posti hii, Job Ndugai ahukumiwe kwa haki, asipotendewa haki, karma itangilia kati.

Nashauri, kwa vile 2025 tumeamua kwenda na mgombea mwanamke, kwa vile tayari tunaye rais Mwanamke, lakini bado hatujajua Mungu ametupangia nani, nashauri kama tunao wanawake wengine ambao ni presidential material, wawe highlighted ili hata asipokuwa Samia, mwanamke mwingine awepo, maana...
P
 
Kwa akili kama hz nasema "TANZANIA HAITAKUJA KUPATA MAENDELEO HATA SKU 1" Yaan mwaka 2021 watu mnawaza nani atashika madaraka mwaka 2025 like serious??

Mnashindwa kufikiria ni namna gan tutatafuta vyanzo vingne vya mapato ili kuwapunguzia wananchi mzigo mzito wa kodi waliobebeshwa,,,

mnashndwa kufikiria ni namna gan tunaweza kubadili mfumo wa elimu ambao hauendan na mazingira yetu ya tanzania ili kupunguza tatzo la ajira,,,,,

mnashindwa kufikiria ni namna gan tutawasaidia wakulima wa korosho kule mtwara ili wasinyonywe na hvo vinavyojiita vyama vya ushirika,,,,,,

mnashndwa kufikiria n namna gan mnaweza kulifufua shirika la posta pasipo kutia vikwazo kwny biashara ya mabasi,,,

mnashndwa kufikiria n namna gan msafara wa kiongozi unaweza kupita barabaran pasipo kuzuia magari ya raia ili raia wawahi kwny shughuli zao na kutafta hzo kodi mnazotaka walipe

Yaan nyie mnawaza MADARAKA MADARAKA MADARAKA. Watanzania kuna tatzo gan vichwani???
Aliyesababisha haya yote ni 1. ALIYESEMA ANAMFAHAMU MKE WA YESU(Mzee wa Gestemani/Galilaya)
2. NA NCHI HII ITAPIGWA MNADA(like seriously what the hell........)
 
Huyu mama anapwaya sana kwenye kaliba ya uongozi wa Taifa. Tanzania ya leo imepungukiwa sana na watu wa nguvu; wanawake kama akina titi Mohammed au Sofia Kawawa au Tabitha Siwale hawapo tena katika medani hii.

Mama Samia amekuwa kila mara anaongelea kuhusu yeye kuwa mwanamke badala ya kutoa vision ya tanzania anayotaka kuacha. Ukinizingua, nitakuzingia, sitakukemea ila nitatumia kalamu yangu, vijigazeti, yaani anongea vitu vya hovyo kabisa!
ANAYOKUTANA NAYO NDIYO ANAYOHIGHLIT ......................ALIANZA KUPUUZWA NA KUDHARAULIWA WAY BEFORE KUAPISHWA NDO MAANA ANAONGEA VILE USIONE MTU ANAONGEA UKAHISI NI GOIGOI TENA KWA PRESIDENTIAL LEVEL MAMA ANA VITA YA MFUMO DUME, NA KWAKUSIKIA NILITONYWA KUWA KIPINDI CHA KUAPISHWA KULIKUWA NA VUTA NI KUVUTE NYINGI HADI KUMLAZIMU MKUU WA MAJESHI MZEE MABEYO KUTISHIA JESHI KUCHUKUA NCHI NDO KINA MZEE GALILAYA WAKAFYATA.

ISSUE TU NCHI KUONGOZWA NA MWANAMKE NASHANGAA KWANINI WATU WANAONA MAMA ANAPWAYA WAKATI TANZANIA NI ILE ILE SHIDA ZA MAJI, HOSPITALI ,TANGU UHURU HADI SASA NASHANGAA VIJEMBE VYA HATOSHI VINALENGA NINI...........SHIDA ZETU SIKU ZOTE NI HIZO HIZO PINDUA AWAMU PINDUKA NYINGINE SHIDA NI HIZO HIZO TOFAUTI NI MATUKIO TUU YA KUTENGENEZA LEADERSHIP MOTTO: MFN KAMA WANYONGE NA WATU KWELI WAKAWA WANYONGE

WATU WALIKUWA WANAAMBIWA WABEBE MAV* YAO WAPELEKE NYUMBANI NAO WANASHANGILIA.................
 
ANAYOKUTANA NAYO NDIYO ANAYOHIGHLIT ......................ALIANZA KUPUUZWA NA KUDHARAULIWA WAY BEFORE KUAPISHWA NDO MAANA ANAONGEA VILE USIONE MTU ANAONGEA UKAHISI NI GOIGOI TENA KWA PRESIDENTIAL LEVEL MAMA ANA VITA YA MFUMO DUME, NA KWAKUSIKIA NILITONYWA KUWA MABEYO ALITISHIA JESHI KUCHUKUA NCHI NDO KINA MZEE GALILAYA WAKAFYATA.

ISSUE TU NCHI KUONGOZWA NA MWANAMKE NASHANGAA KWANINI WATU WANAONA MAMA ANAPWAYA WAKATI TANZANIA NI ILE ILE SHIDA ZA MAJI, HOSPITALI ,TANGU UHURU HADI SASA NASHANGAA VIJEMBE VYA HATOSHI VINALENGA NINI...........SHIDA ZETU SIKU ZOTE NI HIZO HIZO PINDUA AWAMU PINDUKA NYINGINE SHIDA NI HIZO HIZO TOFAUTI NI MATUKIO TUU YA KUTENGENEZA LEADERSHIP MOTTO: MFN KAMA WANYONGE NA WATU KWELI WAKAWA WANYONGE

WATU WALIKUWA WANAAMBIWA WABEBE MAV* YAO WAPELEKE NYUMBANI NAO WANASHANGILIA.................

Mimi namuombea Mpango naye apate bahati kama alivyopata Samia😂😂😂
BAHATI INAWEZA KUMWANGUKIA MWINGINE KWENYE NAFASI YA MPANGO KUMBUKA WEWE SIYO MUNGU ANAYEPANGA HIZI BAHATI NI MUNGU NA MUNGU ALIYE JUU HAPANGIWI NANI WAKUMPA HIYO BAHATI INAWEZA KUKUANGUKIA HATA WEWE
 
Sijawahi sikia duniani koote rais anasifiiiwa na eti aongezewe muda kisa baadhi ya wafanyakazi wamepanda daraja!! Huo niuzuzu.

jukwaa hili nikubwa na lakimataifa hatuwezi vumilia akili ndooogo kuhutubia ujinga humu na tusikemee.

Nisawa namm nije hapa nijisifu watoto wangu nawapaga chakula!!! Mfanyakazi wa serikali ongea point tunakulipa mshahara Sisi ati sasa usitufanye tuwaone mnakula mshahara bure... Jua Haki zako damittt!!
HAHAAHHAHHA HUJAWAHI KUSIKIA WATU WANAOMBA RAISI AONGEZEWE MUDA ULIKUWA UNAISHI PLUTO NINI KIPINDI CHA AWAMU YA TANO AISEE............TENA ILISEMEKANA ATAWALE MILELE SI TU KUONGEZEWA MUDA
 
ANAYOKUTANA NAYO NDIYO ANAYOHIGHLIT ......................ALIANZA KUPUUZWA NA KUDHARAULIWA WAY BEFORE KUAPISHWA NDO MAANA ANAONGEA VILE USIONE MTU ANAONGEA UKAHISI NI GOIGOI TENA KWA PRESIDENTIAL LEVEL MAMA ANA VITA YA MFUMO DUME, NA KWAKUSIKIA NILITONYWA KUWA KIPINDI CHA KUAPISHWA KULIKUWA NA VUTA NI KUVUTE NYINGI HADI KUMLAZIMU MKUU WA MAJESHI MZEE MABEYO KUTISHIA JESHI KUCHUKUA NCHI NDO KINA MZEE GALILAYA WAKAFYATA.

ISSUE TU NCHI KUONGOZWA NA MWANAMKE NASHANGAA KWANINI WATU WANAONA MAMA ANAPWAYA WAKATI TANZANIA NI ILE ILE SHIDA ZA MAJI, HOSPITALI ,TANGU UHURU HADI SASA NASHANGAA VIJEMBE VYA HATOSHI VINALENGA NINI...........SHIDA ZETU SIKU ZOTE NI HIZO HIZO PINDUA AWAMU PINDUKA NYINGINE SHIDA NI HIZO HIZO TOFAUTI NI MATUKIO TUU YA KUTENGENEZA LEADERSHIP MOTTO: MFN KAMA WANYONGE NA WATU KWELI WAKAWA WANYONGE

WATU WALIKUWA WANAAMBIWA WABEBE MAV* YAO WAPELEKE NYUMBANI NAO WANASHANGILIA.................
Ninaamini bibi Titi Mohammed au Sophia Kawawa wasingeongoza anavyoongoza yeye. Tena wale walikulia ndani ya mfume dume wa kikoloni, lakini walikuwa na ushupavu na clear vision yao ambayo mama huyu hana. Ninadhani kama kulikuwa na shock ya kuamkia kwenye kiti hicho, inawezekana ndiyo maana aliaza vibay, lakini siyo kuwa hiyo ndiyo iwe style ya leadership yake hadi leo.
 
Kati ya vitu Magu alikosea basi ni kumchagua huyu mwanamama kua makamu wake.

Sijui ni kigezo gani umekitumia kusema wanawake wana uwezo wa uongozi.
Sioni kitu kwa huyu mwanamama bado anajishtukia sana.

Hafai kuendelea kua raisi, akimaliza muda wake apishe wanaume waingie kazini.
 
Usimpe Personality zisizo zake hebu fikiria kipindi kile Bibi Titi ashindane na Nyerere au aongoze cabinet yenye watu kama Nyerere,Kambona na Enlightened wengine unadhani ilikuwa rahisi

Hata sasa ingawa tupo kwenye Maendeleo hatujawahi kuwa na
1.Waziri Mkuu Mwanamke
2.Jaji Mkuu Mwanamke, hivi vyeo kelele ni nyingi

sasa yeye ni Mwanamke halafu Mzanzibari kuna a way watu wananmchukulia Mama kuona kwamba Hatoshi labda kwa experience au kwa mwonekano akili ya mtu inamchukulia amepooza kumbe..........

Mama ameangukia Cheo Cha Uraisi ambapo uitikio wake na mazoea ya watanzania bado hawakutarajia mwanamke kwenye cheo cha Uraisi, ukichukulia tamaduni zetu wengi wetu bado zipo katika kumalizia mfumo Dume

ISITOSHE EAST AFRICA NZIMA MAMA AMEPINDUA HISTORIA KENYA, UGANDA,NA HATA RWANDA HAWAJAWAHI KUWA NA RAISI MWANAMKE SO PRESSURE ANAYOPITIA KAMA KUNA MTU ANAILEWA........................ ATAELEWA HAIKUWA MATARAJIO YA WENGI
NA NCHI ZETU KUNA JINSI TUNAONA MAMBO ............
 
Huu uraisi wakupewa na katiba hata burundi walishampa mwanamam.
 
Wenye kumbukumbu tunzeni posti hii, Job Ndugai ahukumiwe kwa haki, asipotendewa haki, karma itangilia kati.

Nashauri, kwa vile 2025 tumeamua kwenda na mgombea mwanamke, kwa vile tayari tunaye rais Mwanamke, lakini bado hatukajua Mungu ametupangia nani, nashauri kama tunao wanawake wengine ambao ni presidential Material, wawe highlighted ili hata asipokuwa Samia, mwanamke mwingine awepo, maana...
P
Your forecast won't materialize; watanzania wanahitaji mtu anayewatetea wao, mbunifu katika kujitegemea kwa kutumia rasilimali za nchi. Mtu ambaye hana viasasi asiyekuwa na mahusiano mabaya na mihimili mingine.

I appeal to 'Karma' to intervene in the wary situation in Tanzania to save the population that is currently desperate due to ongoing vengeance among the government, public and political servants after which the strife will be spread to the normal civilians
 
wanaume tumekataa ,hata dini ya Allah hairuhusu!! tukikubali maana yake tumepingana na Allah. Nani anaweza kuvumilia ghadhabu ya Allah!!! e molah tuepushie mbali hili!!
 
Kati ya vitu Magu alikosea basi ni kumchagua huyu mwanamama kua makamu wake.

Sijui ni kigezo gani umekitumia kusema wanawake wana uwezo wa uongozi.
Sioni kitu kwa huyu mwanamama bado anajishtukia sana.

Hafai kuendelea kua raisi, akimaliza muda wake apishe wanaume waingie kazini.

Nakuona ukiteseka sana kwa uyu mama, fanya kazi acha kulaumu usichokijuwa
 
Wenye kumbukumbu tunzeni posti hii, Job Ndugai ahukumiwe kwa haki, asipotendewa haki, karma itangilia kati.

Nashauri, kwa vile 2025 tumeamua kwenda na mgombea mwanamke, kwa vile tayari tunaye rais Mwanamke, lakini bado hatujajua Mungu ametupangia nani, nashauri kama tunao wanawake wengine ambao ni presidential material, wawe highlighted ili hata asipokuwa Samia, mwanamke mwingine awepo, maana...
P
Mungu alinifungulia hili tokea 2016.

Thread hiyo hapo.

Lakini pia mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye uhuru wa kutoa maoni katika nchi hii, ninapenda kumueleza Rais Samia kwamba Sisi tunampemda na tunamuheshimu sana, aendelee kuchapa kazi kwa kipindi hiki kilichobaki lakini chonde chonde 2025 aamue tu kwa hiyari yake kutogombea tena nafasi ya Urais ili kulinda heshima yake.

Asanteni sana
Mkuu ngebe , kwanza naheshimu mawazo yako, pili naheshimu haki yako na uhuru wako kutoa maoni yako under the freedom of expression provided kwenye katiba yetu.

Sisi Watanzania wazalendo tumeisha amua 2025, tunakwenda na Mwanamke!.

Urais hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile JPM aliletwa na Mungu, na akatwaliwa na Mungu, kisha Mungu huyo huyo akatupatia Samia, na sisi tukamuunga mkono Mungu kwa kumuomba 2025 atupatie mgombea mwanamke, nakushauri na ku kukuandaa 2025 kuchagua mgombea mwanamke

Pasco we ni bonge la mchawi aiseh!!
 
Back
Top Bottom