Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

Maisha mazuri hayaji kama ndoto tu,

Yanakuja kwa kufanya kazi.

Vijana tusidanganywe kuwa maandamano ndio njia ya kutupatia maisha bora.

Hata aje nani kama kazi hufanyi maisha yako yatabakia vile vile.
 
Maisha mazuri hayaji kama ndoto tu,

Yanakuja kwa kufanya kazi.

Vijana tusidanganywe kuwa maandamano ndio njia ya kutupatia maisha bora.

Hata aje nani kama kazi hufanyi maisha yako yatabakia vile vile.
Nani kakuambia vijana hawafanyi kazi.
 
Maisha mazuri hayaji kama ndoto tu,

Yanakuja kwa kufanya kazi.

Vijana tusidanganywe kuwa maandamano ndio njia ya kutupatia maisha bora.

Hata aje nani kama kazi hufanyi maisha yako yatabakia vile vile.
Vipi kuhusu kutekana, vipi kuhusu freedom of expression, vipi kuhusu haki ya kuchagua unachokikubali, vipi kuhusu equal opportunities na mambo mengine mengi tu.
Hivi unajua kuwa source ya yote haya(if you were following dot by dot) ni mambo ya kutekana na kuuana? Hili suala mbona serikali inomung’unya midomo?Watu wanataka kuishi bila uoga wa kutekwa, kuuawa au kulawitiwa na polisi pindi wanapotoa maoni kwa yale yanayowakera.
 
Na ngamia atachinjwa atakapoelekea.
We’re all game, tutakutana. Tushajuana kila mmoja atakuja alivyojipanga. Msisahau zile parades zenu za kufagia barabara for your preparations na mikwara before the game.
 
Hao JW hatuwataki ila twajua wapo mmoja mmoja wapo upande wetu watafanya kile wawezacho kupambana na mauaji
Siku yule mzee wa Msoga akisalimiwa, tutaanza kuheshimiana. Maana ni kama vile anaona hii Tanzania ni mali yake, na sisi wengine ni kama wadudu tu, ndo maana tunauliwa kama Panya.
 
Nani kakuambia vijana hawafanyi kazi.
Watu wenyewe wanaowasema hawafanyi kazi ndiyo hao wanaopanga kuwafanyia rations kwa kuwauzia liters mbilimbili za fuel, ndiyo mafundi wanaowatengenezea magari yakuharibika, watu hao wanaosema wafanye kazi ndiyo wanaowajengea nyumba zao. Clearly they’re living in a luxury world yaani kila anaye-struggle wanaamini hafanyi kazi.
 
Sitegemei nyumbu kudanganyika tena na nyinyi keyboard warriors. Hatujaona hata mmoja aliyepigwa risasi au hata kukamatwa kati yenu wapiga story wa humu JF. Acheni kuwadanganya watoto wa watu wamesamehewa sitegemei tena wakasikiliza utoporo wenu.
Hasira za kupoteza dola zinakutessa. Mlifikiri mtafanya upuuzi kwenye uchaguzi kisha watanzania watasahau sasa imekuwa kinyume chake.

Huko nje pia mnapigwa spana kila kona kwa ushetani wenu na mtaanyokaa tu safari hii.
 
Walikuwa wanasema eti watanzania ni wajinga watalia siku mbili watasahau this time is different hawaamini wanapigwa nje ndani jana ilikuwa EU kuna rungu kwa Trump linakuja.
 
Leo balozi wenu alienda kwenye bunge la EU na barua ya uchumba analia eti katumwa na rais Samia wakamwambia hatumtambui huyo Samia. Go away.
Ni kama inachekesha ila ni aibu kubwa sana
 
Maisha mazuri hayaji kama ndoto tu,

Yanakuja kwa kufanya kazi.

Vijana tusidanganywe kuwa maandamano ndio njia ya kutupatia maisha bora.

Hata aje nani kama kazi hufanyi maisha yako yatabakia vile vile.
Ndio maana una stroke ya ubongo...
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Back
Top Bottom