Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,469
- 9,569
Wale wana kadi za CCM
Mbona tayari ameshamshukuru Jaji Mwambegele. Huyo ndio aliempa 98%.Mlimdanganya mama yenu asiwe na wasiwasi hao ni keyboard Worrious hawatatoka, mnarudia tena kosa lile lile.
Mnampa presha bure mama yenu hadi kaogopa kutoka kuja kuwashukuru wapiga kura wake.
Raia tulifanya kazi yetu vizuri sana. JE ndiyo BataMO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha.
Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke matumaini makubwa kwa JWTZ lilitusaliti, tutoke tukijua tupo peke yetu na Mungu wetu.
Kama wao (JW) wanaogopa kuikomboa Tanganyika kwa sababu zao wabaki kwenye makambi yao watuachie hiyo kazi sisi wananchi tuwasaidie. Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao.
Gari zao zikionekana siku hiyo na zenyewe chomeni tu moto. Snitch hao.MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha.
Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke matumaini makubwa kwa JWTZ lilitusaliti, tutoke tukijua tupo peke yetu na Mungu wetu.
Kama wao (JW) wanaogopa kuikomboa Tanganyika kwa sababu zao wabaki kwenye makambi yao watuachie hiyo kazi sisi wananchi tuwasaidie. Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao.
Nchi ikikombolewa jeshi lote la jwtz livunjwe na vijana wazalendo wapewe kazi.Jwtz wana safari ndefu sana kwa sasa Ivi mpaka kufanya Iman yao irudi tena kwa wananchi wao
Wakati huo wewe ukiwa wapi.Gari zao zikionekana siku hiyo na zenyewe chomeni tu moto. Snitch hao.
Sitegemei nyumbu kudanganyika tena na nyinyi keyboard warriors. Hatujaona hata mmoja aliyepigwa risasi au hata kukamatwa kati yenu wapiga story wa humu JF. Acheni kuwadanganya watoto wa watu wamesamehewa sitegemei tena wakasikiliza utoporo wenu.
Kwani wewe uko wapi? Unaliwa kiboga tu na mabeberu ukiendelea kubeba mabox.Muulize mama yako mwenye matiti makubwa na mashavu kama amebugia vyura kwanini anaishi shimoni kama panya?
Wewe ni Mwalimu halafu unakuwa nyumbu!!? Unategemea hao mabeberu watakusaidia upindue nchi na ubaki salama!!?Hasira za kupoteza dola zinakutessa. Mlifikiri mtafanya upuuzi kwenye uchaguzi kisha watanzania watasahau sasa imekuwa kinyume chake.
Huko nje pia mnapigwa spana kila kona kwa ushetani wenu na mtaanyokaa tu safari hii.
See u bro.Let’s meet on the ground, we’re all game. Tutawapokea mtakavyokuja.
Propaganda tu hizo kwenye dipromasia hakuna majibu ya kihuni hivyo unafikiri kuna unyumbu kule!!?🤣Leo balozi wenu alienda kwenye bunge la EU na barua ya uchumba analia eti katumwa na rais Samia wakamwambia hatumtambui huyo Samia. Go away.