Watanzania tunyamaze kabisa, kuhusu bandari tumelikoroga wenyewe tulinywe!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,479
Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo.

Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!?

Mikataba ilianza leo!? Si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza!

Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC!? Nani aliuza gesi HADI maafa huko mtwara!!?

Mbona mnamkomalia mama wa watu kipi kipya ambacho amefanya watangulizi wake hawajafanya!!?

Unafikiri KWA mfumo mbovu wa kikatiba tulioulea angefanyaje ZAIDI ya yale aliyofundishwa na walimu wake waliotangulia KWA back up ya katiba na mfumo mbovu uliopo!!?

Nashangaa wengine wanaccm KABISA wenzangu eti wanapiga kelele KWA lipi hasa wakati tunaambiwa KILA siku katiba ina matatizo Rais hatakiwi kuwa mwenyekiti wa chama ILI chek and Balance iwe rahisi kwenye mambo kama haya, lakini tukashupaza shingo eti "ccm mbele KWA mbele"!!!!"Basi acha iwe mbele KWA mbele HADI Bandarini"

Tatizo sio samiah wala awamu zilizopita TATIZO ni katiba na mfumo tuliolea ambao Rais anakua top kisiasa yaani BOSI mpaka kwenye rasilimali zetu!

Tuache kumshambulia kisa katoka visiwani kwani hao watanganyika wenzetu "walitupenda"!!? Hawakuuza"!!!?mbona waliuza na tukachezea vichapo kama mtwara kule!!?

Tuache ubaguzi TUWE wakweli kia TATIZO letu ni mfumo wa katiba sio uuzwaji wa visiwa au Bandari,!!sio uzanzibari wala utanganyika,!!Mbona Mwinyi anakodisha visiwa mbona hatupigi kelele kama kweli si ni wazalendo!!!?

Mama anapita mule mule kama watangulizi wake hajakosea popote wala hajapiga mtu virungu wala maji ya washa washa kama Watanganyika wenzetu huko kabla,TULINYWE LIKATIBA LA HOVYO,TULINYWE LI UMBUMBUMBU WA UJASUSI WA UCHUMI WA NCHI YETU UNAOSIMAMIWA NA HAO WANAOJIITA MAAFISA NYETI WA TAIFA,TULINYWE LI MFUMO WA KIJINGA WA KUBEBA WATAWALA NA VIONGOZI NASEMA TUNYWE COZ TUMELIKOROGA WENYEWE NA KULILEA TANGU UHURU WALA HATUKUSHTUKA MAPEMA LEO NI AWAMU YA PILI LOLIONDO INAENDA AWAMU NYINGINE GESI ITAENDA NA MADINI YAKE,AWAMU NYINGINE BANDARI ITAENDA NASEMA TULINYWE KAMA TOGWA NA SODA TUNYWAVYO!!

WAPINZANI WAMELIA SANA NA KATIBA NA MIFUMO CCM TULIWAFANYAJE!!?SI VICHAPO,KESI FEKI,VIRUNGU,FITINA NA N.K SASA LEO TUNALIA LIA NINI HASA WANACCM WENZANGU ZAIDI YA KULINYWA LI UJI LILILOZA!!?

SOMENI WENYEWE,UNARUHUSUWA KUSAGA MENO PIA!!
 
Wewe naona unataka kutokoroga. Una maana kwa kuwa tulifanya makosa huko nyuma basi tuendelee hivyo hivyo kufanya makosa hata sasa? Hujawahi kusikia waswahili wanasema, 'kufanya kosa siyo kosa, ila kurudia kosa ndiyo kosa'?
Yani tumwache Samia akituuza utumwani huko uarabuni eti kwa kuwa huko nyuma tuliwahi kufanya makosa? Ujinga wa aina gani huo?
Bwashee sisi siyo mazezeta.
 
Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo.

Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!?

Mikataba ilianza leo!?si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza!

Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC!?nani aliuza gesi HADI maafa huko mtwara!!?

Mbona mnamkomalia mama wa watu kipi kipya ambacho amefanya watangulizi wake hawajafanya!!?

Unafikiri KWA mfumo mbovu wa kikatiba tulioulea angefanyaje ZAIDI ya yale aliyofundishwa na walimu wake waliotangulia KWA back up ya katiba na mfumo mbovu uliopo!!?

Nashangaa wengine wanaccm KABISA wenzangu eti wanapiga kelele KWA lipi hasa wakati tunaambiwa KILA siku katiba ina matatizo Rais hatakiwi kuwa mwenyekiti wa chama ILI chek and Balance iwe rahisi kwenye mambo kama haya, lakini tukashupaza shingo eti "ccm mbele KWA mbele"!!!!"Basi acha iwe mbele KWA mbele HADI Bandarini"

Tatizo sio samiah wala awamu zilizopita TATIZO ni katiba na mfumo tuliolea ambao Rais anakua top kisiasa yaani BOSI mpaka kwenye rasilimali zetu!

Tuache kumshambulia kisa katoka visiwani kwani hao watanganyika wenzetu "walitupenda"!!? Hawakuuza"!!!?mbona waliuza na tukachezea vichapo kama mtwara kule!!?

Tuache ubaguzi TUWE wakweli kia TATIZO letu ni mfumo wa katiba sio uuzwaji wa visiwa au Bandari,!!sio uzanzibari wala utanganyika,!!Mbona Mwinyi anakodisha visiwa mbona hatupigi kelele kama kweli si ni wazalendo!!!?

Mama anapita mule mule kama watangulizi wake hajakosea popote wala hajapiga mtu virungu wala maji ya washa washa kama Watanganyika wenzetu huko kabla,TULINYWE LIKATIBA LA HOVYO,TULINYWE LI UMBUMBUMBU WA UJASUSI WA UCHUMI WA NCHI YETU UNAOSIMAMIWA NA HAO WANAOJIITA MAAFISA NYETI WA TAIFA,TULINYWE LI MFUMO WA KIJINGA WA KUBEBA WATAWALA NA VIONGOZI NASEMA TUNYWE COZ TUMELIKOROGA WENYEWE NA KULILEA TANGU UHURU WALA HATUKUSHTUKA MAPEMA LEO NI AWAMU YA PILI LOLIONDO INAENDA AWAMU NYINGINE GESI ITAENDA NA MADINI YAKE,AWAMU NYINGINE BANDARI ITAENDA NASEMA TULINYWE KAMA TOGWA NA SODA TUNYWAVYO!!

WAPINZANI WAMELIA SANA NA KATIBA NA MIFUMO CCM TULIWAFANYAJE!!?SI VICHAPO,KESI FEKI,VIRUNGU,FITINA NA N.K SASA LEO TUNALIA LIA NINI HASA WANACCM WENZANGU ZAIDI YA KULINYWA LI UJI LILILOZA!!?

SOMENI WENYEWE,UNARUHUSUWA KUSAGA MENO PIA!!
Tatizo siyo katiba bali ni CCM na wanachama aina yako
 
Haiwezekani mtu apande ndege aende Arabuni kwa pesa za kodi yetu, akatongozwe na mwarabu huku yeye anakula kucha za vidole tu, ampe mwarabu kile atakacho, halafu mpuuzi mmoja aje kuniambia ninyamaze, huna akili.
 
Wewe naona unataka kutokoroga. Una maana kwa kuwa tulifanya makosa huko nyuma basi tuendelee hivyo hivyo kufanya makosa hata sasa? Hujawahi kusikia waswahili wanasema, 'kufanya kosa siyo kosa, ila kurudia kosa ndiyo kosa'?
Yani tumwache Samia akituuza utumwani huko uarabuni eti kwa kuwa huko nyuma tuliwahi kufanya makosa? Ujinga wa aina gani huo?
Bwashee sisi siyo mazezeta.
Wewe

Unafikiri KWA mfumo tuliouandaa hata kama wewe ungefanyaje!!?

Yaani unaona KABISA muda WANGU wa kula ndio huu sasa utafanyaje!!?ungebadili style tu Mkuu!!

Kofia mbili za urais na uenyekiti wa chama nani amsimamie mwenzake!!?

Unafikiri haya yanatokea yanatokea KWA Bahati mbaya!? Mungu kaamua kutoonyesha hasara ya matendo yetu WENYEWE!!

Yaani hasara ya MFUMO tulioulinda wenyewe!!

TUMELIKOROGA TULINYWE HAMNA namna Mkuu!!
 
Haiwezekani mtu apande ndege aende Arabuni kwa pesa za kodi yetu, akatongozwe na mwarabu huku yeye anakula kucha za vidole tu, ampe mwarabu kile atakacho, halafu mpuuzi mmoja aje kuniambia ninyamaze, huna akili.
Hata kikwete alipanda ndege!

TUMELIKOROGA TULINYWE HAMNA namna!
 
Ni kweli kabisa Mama anaonewa! Kama JPM alishindwa na akafikia mahali pa kusema kwamba hawezi kufukua Makaburi basi mama asilaumiwe!
Tatizo ni mfumo!
Kwa mfano hata hili Sakata la Bandari nataka kuamini huenda hata JPM alilijua!
 
Attachments

  • 288098995_1459415207828333_2169838106297824322_n.mp4.mp4
    744.4 KB
Ni kweli kabisa Mama anaonewa! Kama JPM alishindwa na akafikia mahali pa kusema kwamba hawezi kufukua Makaburi basi mama asilaumiwe!
Tatizo ni mfumo!
Kwa mfano hata hili Sakata la Bandari nataka kuamini huenda hata JPM alilijua!
Ni kweli mkuu!tunaipenda oman HADI Bandari tumewapa!!

Hakuna kupiga makelele! TULINYWE kimya kimya TU!!
 
At least wewe siyo mnafki mkuu.....watanzania siye ni kama vinyonga.....tunachopenda na kufurahia ni vifo vya viongoz wetu basii......usiponeemeka na kiongoz huyu bas hafai ukineemeka nae huyu anafaa.......Aisee,hii Dunia mzuri Mungu tu hakika😶🙌
 
Back
Top Bottom