Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,170
- 871,507
Wwnajifariji tu hawa kunguniMbona hata kipindi cha Uchaguzi wa Mwenyekiti chadema Tanzania ilikua busy na chadema wananchi wote kawaida hiyo
Wwnajifariji tu hawa kunguniMbona hata kipindi cha Uchaguzi wa Mwenyekiti chadema Tanzania ilikua busy na chadema wananchi wote kawaida hiyo
Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?