Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,073
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.
Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.
Ni AIBU kwa CCM