Watanzania tulidanganywa sana na Utawala wa Awamu ya Tano

Raisi kupandishwa school bus ilikuwa awamu ya tano pia.

Nilataka kusahau.
 
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

Weka Video ya hayo maneno tusikilize wote
 
Jiwe alikuwa msanii tu
 
Kabudi ni miongoni mwa watu waliompotosha sana na kumtia kiburi Rais Magufuli. Sidhani kama kuna jambo Rais alitaka kulifanya kabudi akamshauri vizuri au akamwambia hili huna mamlaka nalo, ndio maana Rais alimuona kama mtu makini sana.

Ilifika wakati Kabudi alikuwa anaongea utadhani hii nchi ni mali yake na sisi ni watoto wake. Alifikia wakati anatuambia tukae kimya.

Nikikumbuka mahojiano yake na Zuhura Yunus pale BBC, naogopa hata kumuita Professor.

Sijui hata anapata wapi ujasiri wa kujitokeza na kuongea hayo anayoyaongea.

Kwa wakati ule gem ilitakiwa kuchezwa vile,

Tuna miaka mingapi hata kivuko cha ubungo hakuna? Tuna miaka mingapi shida za umeme kila siku?

Wakati wa magu vyote viliiisha
 
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

IMG_20221014_082234.jpg

Sisi wengine tulikuwa tumeshafahamu kuwa hao WATU walikuwa ni WAONGO na walikuwa ni WATU hatari sana kwa upande wa SEKTA BINAFSI.
 
Back
Top Bottom