Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,284
Nenda kazikwe nayeKama ww ulikuwa mwizi, Una vyeti, unakula salary hewa then lazima umuone magu katili
Nenda kazikwe nayeKama ww ulikuwa mwizi, Una vyeti, unakula salary hewa then lazima umuone magu katili
HaaaaaaKule Madagasca hii dawa inauzwa na Rais mwenyewe
Nenda kazikwe naye
Unamuongelea John P KANYABOYA?Marehemu alikuwa mtaalamu wa uongo na ukatili.
Wote ni nyoka walewale, kutoka kichaka kilekile, wana sumu inayoua vilevile. Tofauti yao ni rangi na jinsi.Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
Pole sana kaeni kwenye vikao vyenu huko mjiulize kwanini mnaendelea kushabikia wizi na ukatili.Bendera fata upepo ndio kitu kinachotuponza WTZ.
Wengi tunashabikia tusichokijua may be. Tunashindwa kuelewa kwanini Magufuli alipinga mkataba wa Bandari ya Bagamoyo alafu mudafupi baada kufa hoja iksrudishwa mezani.
Hatutaki kujua kwamba aliekuwa warizi wa nishati M.Kalemani alisema umeme MNHEP(Stickers) ungeweza kuwaka November mwaka Jana lakini mpaka leo ni bilabila.
Hatutaki kujua Kwanini waliotakiwa kuilipa serikali mabilioni ya hela akini (Lugemalila) na mwenzie .leo wako nje na hatujui Kama hizowanalipa kidogo kidogo au la.
Hatutaki kujua nani agenti mkuu wa mafuta ghafi hapa nchini, sisi tumekalia ushabiki wa siasa na itikadi za kivyama, wakati hatunufaiki na AGENDA za wavunaji wa nchi.
Na kimeo kiingine kimerudishwa. Kinavurugu utadhani kina kifo Cha peke yake.Wote wananyazifa bado, sio kabudi tu
Hata hivyo Mimi so mshabiki, na siamini katiba kwamba ndio solution au unaweza badili chochote, naamini watu au mtu ndie anaweza KUBADILI.Pole sana kaeni kwenye vikao vyenu huko mjiulize kwanini mnaendelea kushabikia wizi na ukatili.
Katiba mpya ndio dawa ya kweli ya usanii wenu.
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.
Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.
Ni AIBU kwa CCM
Aliyeshauri alifaodika Nini zaidi ya kula kibondo Cha majeraha 30 ya harakaharaka. Leo hii ni kilema maibilisi yanazurura usiku na mchana kuharibu maboma ya watu.Huyo pimbi achana nae kazi yake kutengeneza thread juu ya JPM huwezi kumkuta anaishauri serkali huu ya kupanda kwa gharama za maisha!
Unamuongelea John P KANYABOYA?
Phd holder 🤣🤣😂🤣😂
Unaumia Sana au? Hayo yote yalikuwa ni wajibu wake ayafanye kulingana na kiapo chake. Hakuapa kusema uwongo. Biblia haifundishi maugomvi, chuki, hasira na kujisifia.Kwa ujumla ninaona watu mlioishiwa sera,kila siku mnadandia matukio yasiokuwa na Tija kwa mustakabali wa ustawi wa maisha ya mwananchi na kero za huku site mtaan.
Kama mlidanganywa ebu tuambie kama
NDEGE ZA ATCL Hazipo?
SGR Haipo?
JNHP Haipo?
KIGONGO- BRIDGE Haipo?
STAND ZA MAGUFULI Hazipo nchi nzima?
FLYOVERS Dsm Hazipo?
Miradi ya ujenzi wa mahospitali na Dispensary nchi nzima haipo?
Ujenzi wa Mashule na uboreshaji wa zile za zamani haukufanyika?
Nidhamu ya kazi kwa watumishi wa UMMA haikuwepo?
PANYA ROAD Uliwasikia nchi nzima?
MAFISADI HAWAKUKAMATWA?
Na hata wewe muandika hii mada hukutumbuliwa?
Kama bado una ugomvi binafsi na Magufuli,Nakushauri na wewe umfuate huko aliko ili mkagombane au akakupe majibu sahihi unayoyataka.
Hakuna anaekuzuia kumfuata Magufuli ili mkamalizane huko huko.
Wala hauhitaji Passport ya kwenda alipo Magufuli.
Ni kuamua tu kama alivyoamua yule mzinzi wa Masanja mkandamizaji.
Ukigundulika unafualia yatakukuta ya Azron. Kama unajipenda na usiwape familia yako shida kaa hatua 💯 rusha mawe watajuana wenyewe.Bendera fata upepo ndio kitu kinachotuponza WTZ.
Wengi tunashabikia tusichokijua may be. Tunashindwa kuelewa kwanini Magufuli alipinga mkataba wa Bandari ya Bagamoyo alafu mudafupi baada kufa hoja iksrudishwa mezani.
Hatutaki kujua kwamba aliekuwa warizi wa nishati M.Kalemani alisema umeme MNHEP(Stiglers) ungeweza kuwaka November mwaka Jana lakini mpaka leo ni bilabila.
Hatutaki kujua Kwanini waliotakiwa kuilipa serikali mabilioni ya hela akini (Lugemalila) na mwenzie .leo wako nje na hatujui Kama hizowanalipa kidogo kidogo au la.
Hatutaki kujua nani agenti mkuu wa mafuta ghafi hapa nchini, sisi tumekalia ushabiki wa siasa na itikadi za kivyama, wakati hatunufaiki na AGENDA za wavunaji wa nchi.
JPM ni jabali watajitahidi kuzunguka weee lakini lazima watarudi kwenye ukweli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app