Watanzania tu wavivu mno!

Kwa hivo unapinga kauli mbiu ya "HAPA KAZI TU?"Unatumia "research sample"ya kijijini kwenu kutoa takwimu za kitaifa ? Ni watanzania wangapi wanaoishi kwa chakula cha msaada ? Ni watanzania wangapi wana Kazi ?
 
Uvivu ni malezi mkuu kuanzia ngazi ya familia mpk taifani!Unakuta mtoto kalelewa kivivuvivu tu toka kwny familia yake anaenda kuajiriwa chini ya kiongozi mvivumvivu tu ambae anaongozwa na mfumo wa kivivukivivu tu na mwisho taifa zima linakuwa la wavivu tu!
 
Hivi Lady Fyrahisha unafanya kazi gani jamani?
 
Dah... sipati usingizi kabisa... nainyemelea kazi moja hivi.. nasubiri wachina watie timu...niwapige bao....kwa msaada wa Profesa mshana jr[emoji13] [emoji13]
 
Hv hakuna namna ya kuwafanya watanzania wapende kaziii?
Kunavidonge flan hv vinaitwa sonko ukivinywa hv utakuwa zaid ya msukule kwny kaz yaan kaz kaz mwanzo mwenga.....
 
Wanasubiri serikali iwashike mikono kwa kuwaajiri haha, mtanzania zinduka dunia ya leo imebadilika sio ya kulaza damu usubiri utafuniwe
 
Sasa mazingira ya kazi magumu,mshahara kiduchu,njaa imetahamaki kwanini nisiwe mvivu kazini,kudoji kila siku.No motivation no hard working,we unafikiri mwalimu wa Tanzania aliyeajiriwa na serikali atajituma ipasavyo?
 
Watanzania tubadilike tuache uvivu. Kila kitu kulia lia.
 
Unamkuta afisa wa serikali amekalia kuiba tu kazini. Ngosha kabana kidogo basi anaruka ruka kama popcorn kwenye kikaango.
 
Ww mwenyewe ni mvivu wa kufikiria, hii research yako umefanyia wapi na muda gan had kupata haya majipu na nn mapendekezo yako.
 
Usiwaingize Watanzania wote kwenye kundi la wavivu wapo wengi wanapiga mzigo mtindo mmoja. Sema baadhi ya Watanzania wavivu.

 
WATANZANIA WAVIVU SANA....DUNIA INAJUA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…