Watanzania Na umarekani

Watanzania Na umarekani

Nilikuwa napitia mitandao ya kijamii nikakuta mtu ameweka post well come to thanks giving dinner. Nilishtuka kulikuwa Na picha ya mapochopocho Na ile picha imepigwa eneo fulani DSM. Swali watu tunafahamu haswa hii sikukuu Na maana yake au sisi ni right peoples ni wrong country. Mimi nadhani watanzania tubabadilike kwani huwezi ukawa mmarekani Kwa Hali yoyote sikukuu ya thanks giving ni Kwa wamarekani tu ni kama vile tisa December usema wachina washeherekee tuacheni ujinga Na ni ushamba kusheherekea sikukuu isiyo kuwa yako sababu ya kuipenda America fungukeni sasa

Afadhali umezungumza ndugu yangu; nimewahi kusoma mialiko ya July 4 bash inayofanyika Dar nikachoka. Tanzania siku hizi tuna hata Haloween day, Labor Day weekend na Veterans' Day Weekenda ambazo haziendani kabisa na zetu tunazojua bali ni zile za Marekani.
 
Kwani wanasheherekea nini, na kunausahihi wowote kwamba hamna nchi nyingine wanaoitambua hiyo sherehe?

Tofautisha kuitambua na kusherehekea, kenya wanaweza kuitambua 9DEC lkn wasisherehekee.
 
Miafrika ni mijitu mijinga mijinga tu. Ni mijitu isiyojielewa. Ni mijitu yenye kufuata mikumbo. Ni mijitu isiyo na ubunifu.

Ni mijitu isiyojithamini na kutothamini tamaduni zao. Ni mijitu yenye kushobokea sana mambo na vitu vya wengine. Ni mijitu duni.

Ni mijitu ya ajabu ajabu - kwa mfano - mimi nimeshawahi kukutana na Wamarekani weusi ambao wanashukuru mababu zao kuchukuliwa utumwa huko Marekani na hivyo kuwezesha wao kuzaliwa Marekani ambako ni bora zaidi kuliko kuzaliwa Afrika.

Miafrika yenyewe kwa yenyewe huchekana eti flani hajui Kiingereza, au hudharauliana kwa kusema flani ana mambo ya Kiswahili.

Miafrika humwona mtu anayejua Kiingereza kama ni mtu bora zaidi, aliyestaarabika, na mwenye akili sana.

Hivyo usishangae kuona Miafrika ikisherehekea sikukuu ya Thanksgiving. Hakuna tena linalonishangaza kuhusu Miafrika. Hata siku nikisikia moja ya nchi inapiga Star Spangled Banner kama wimbo wa taifa sitashangaa.

Kwa kifupi, Miafrika Ndivyo Tulivyo.

.....Happy Thanksgiving arifu!...
 
duuh ila kweli asee tushakua maphotocopy machines wa style za maisha za watu
 
You can't stop the reign.

Nenda Japan huko uone nchi ya ma Buddhist na ma Shinto wanavyoshadadia Christmas kuliko nchi nyingine za Kikristo. Na hiyo sikukuu ya kidini.

Maisha mafupi, Al-Qaeda wanaweza kukulipua Westgate style any minute, ngoma nje nje, ajira hakuna, matumaini hakuna, matetemeko ya ardhi na maafa ya nuclear si ajabu, watu wanatumia kila nafasi kusheherekea.

Kama vipi susia na internet utengeneze yako ya vibatari.

Hata hii internet unayotumia ni kugeza Wamarekani, wao ndio walioianzisha.

Kuna Wamarekani wengine hawafagilii hiyo Thanksgiving vilevile. Malcolm said they did not land on Plymouth Rock, Plymouth Rock landed on them.

Mtu anaanza kes kukuuliza "do you celebrate thanksgiving?", ukimwambia "yes" ndiyo anapata licence ya kusrma "Happy Thanksgiving". For all they know one could be a radical Muslim out of Philly, embracing separatist neo Nation of Islam doctrines and very American.

Do you, and let others do them.

Hata wakitaka kusheherekea Fourth of July instead of Ninth of December kivyao.

Labda wanawezeshwa "kwa msaada wa watu wa Marekani", utajuaje?

Utamlazimishaje mtu mwingine aishi unavyotaka wewe?

Umemzodoaje???? Ataoga Maji ya bahari
 
Hata nywele tunataka za kizungu, ingawa za maiti lakini tunazinunua kwa bei mbaya sana, ingawa zinatunyonyoa nywele zetu za asili na kutufanya vipara lakini tuko tayari kujiharibu na kuzishonea vichwani mwetu ili tuwe kama wazungu. Tupo tayari tuunguwe vichwa vyetu kwa kemikali lakini tuonekane kama wazungu aka wa-maana.

Rangi tunataka za kizungu, tuko tayari kula makemikali ya kutudhuru na kututia makansa ili tuwe weupe, tuko tayari kunuka miili yetu kwa kujichubuwa kwa makemikali ili tuwe weupe.

Tuko tayari hata kumkosoa Mwenyeezi Mungu kwa kuabudu picha ya mzungu na kumfanya Mungu ili tunekane wa-maana.

Tumempa mzungu cheo cha Uungu kwa kumuita "Mzungu" (toa "z" hapo uone inakuwa nini).

Tumejidhalilisha na kuendelea kujidhalilisha kwa kujiita "Wa Afrika", neno linalotokana na "Afrit" na (aliyemuasi Mwenyeezi Mungu na baba la mashetani wote) kujinasibisha nae.

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
 
He! he !he! mwisho wa mwaka huu pungwa wapi undengerekoni nikatambike!tokomile wapi uzaramuni nikajimwaemwae!mwaka kogwa lini vile makunduchi? mbona watanzania za chini ya mbuyu tunazo nyingi tu sema hamtaki kuzipromoti!
 
na bado
30+Days+of+Thanksgiving.jpg

happy-thanksgiving-day-2013-wallpapers-1920x1200-wide.jpg
 
kama kizuri unaiga tu, kwa hiyo title tu 'Thanks Giving' na hisi itakua inamaana nzuri
 
Sisi tena! Yaani 50Cent akivaa skuna kesho yake utaona heka heka za mabrazameni na masharobaro kuvaa skuna.
Tunapenda kuiga mambo ya kigeni mengine hayana msingi kwetu tunaiga tuuuuu.
 
wabongo siku hizi husheherekea mpaka haloween.mradi kuiga tu
 
Hiyo sikukuu ya thanks giving ndio inasherehekewaje?
 
Na ile ya halloween ina maana gani? Nilishawahi ona picha watu flani hapa bongo wanaishobokea
 
Back
Top Bottom