zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #21
Na huu ubaguzi wa kijinga naona wengi wanaufagilia...teh teh teh! Mimi si mbaguzi wala sina mpango wa kuufuatilia ubaguzi. Utaninyima maisha na kula kwangu mjini bila sababu ya msingi
Hutaki hata kujuwa maana ya Iraqw? Asili na fasili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA? basi hata maana ya jina "Jakaya" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Naomba basi japo tumia Google uje na maana ya SLAA.
Hatari kubwa sana.