Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
943
1,989
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
 
Hilo jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Vipi hayo matukio mlikuwa mnafanya wote?
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025

Magufuli si alipora uchaguzi na kuwapa wanaccm, wako wapi hao aliowapa madaraka wahoji haya yanayoendelea?
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Dikteta John pombe magufuli
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Linauwa watu kuna ndugu yako aliwahi kumuuwa..?!
Watu waliotekwa aliwahifadhi wapi ndugu NAZI
Lina piga watu risasi kwa kutumia silaha aina gani muda huo ukiwa wapi anafanya tukio hilo..?!
Huo uporaji wa fedha aliufanya kwenye nyumba ya nani...?
 
Tatizo lenu ni wajinga jinga. Bila mifumo kila siku tutaongelea marehemu tu. Kama mifumo ni mizuri nchi haitakuwa inategemea mtu mmoja. Sasa tukiwaambia mpiganie katiba hata haiendi kwenye akili zenu kwasababu mko slow sana kufikiria
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
ccm wote ni takataka tu. Hakuna hata mmoja mwenye unafuu.

Miaka zaidi ya 60 sasa tangu tupate uhuru, wao wamewekeza zaidi nguvu kubwa kwenye siasa na kujimilikisha nchi kimabavu! badala ya kuwekeza kwenye elimu bora, huduma bora za afya, maisha bora kwa wananchi wote, teknolojia ya kisasa, tafiti mbalimbali, demokrasia ya kweli, nk.
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Sio kosa lako,shida ni ule utepetevu na ulojolojo wa fikra na akili zako.
 
Linauwa watu kuna ndugu yako aliwahi kumuuwa..?!
Watu waliotekwa aliwahifadhi wapi ndugu NAZI
Lina piga watu risasi kwa kutumia silaha aina gani muda huo ukiwa wapi anafanya tukio hilo..?!
Huo uporaji wa fedha aliufanya kwenye nyumba ya nani...?
Utasumbuka na watu wspumbavu.hao wanavisa vyao,
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Magufuli alikuwa na nyenzo, madaraka na muda wa kubadilisha ili haya yanayotokea sasa hivi yasitokee tena lakini akapuuza. Kosa ni lake.
 
Back
Top Bottom