Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, Magufuli wa mwaka 2020 siye huyu wa miaka ya nyuma

He is the best president ever baada ya Mwalimu Nyerere. Sio ile umeingia ofisi ya umma inakuwa kama umeingia nyumbani kwa mtu. Tanzania tunahitaji watu wa namna hii, maana kujiongoza hatuwezi. Tanzania need a ruler not a Leader. Magufuli tano tena.
NB: Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Maana kuna watu hapa akili zao muda wote siasa tu, badala ya Taifa kwanza.
 
Sampuli ya watu kama wewe ndiwo mnaoturudisha nyuma.
 
Kwa kuzidisha msisitizo,
- Kuna wafanyakazi wa serikali wana miaka zaidi ya 6 hawajapandishwa vyeo au kuongezewa mishahara,
- Nyumba zilizovunjwa maeneo Kimara huku amri ikitoka kuwa hakuna ruksa mtu kuvunjiwa nyumba huko Mwanza,
- Maafa yalitokea Kagera hakuna usaidizi kutoka Serikalini wa kueleweka, tena msaada wa kuwasaidia wahanga ukaelekezwa kwingine,
- Kuna mikoa hakuwahi kufika tokea achaguliwe,
Miaka mitano hakuna ajira ya kueleweka,
-TRA kuwa miungu watu,
-Boom vyuoni huko halieleweki,
-Watu wanapata ukame inaelezwa kuwa haukuletwa na CCM badala ya kusaidia wahitaji,
- Hakuna bunge live wakati huku michakato ya kura za maoni ukiwa live siku nzima wakati serikali iliyo madarakani ni ya CCM.

Wengine mnaweza kuongezea kwenye hii list ili tupatiwe majibu mwanana kabla ya kumpigia mtu kura.
Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, zile shida,manyanyaso, kauli zisizo faa mlizozipitia kuanzia tangu mwaka 2016 mpaka 2019 mwishoni.

Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona aisee hii nchi bwana haiishi vituko.

Msijisahaulishe kwamba hakukuwa na ajira miaka yote hiyo, msijisahaulishe zile nyumba zilizo vyunjwa kimabavu, msijisahaulishe kuhusu mambo ya watu wasio julikana maana yalishamiri sana japo kwa sasa yamepoa kidogo.

Msijisahaulishe kuhusu vijana wenu waliopo vyuoni kukosa mikopo licha ya kukidhi vigezo, msijisahaulishe kuhusu kuminywa kwa demokrasia hapa nchini.

Msijisahaulishe kuhusu zile kauli tata za mara kwa mara ambazo mara nyingi zilikuwa zinaleta maudhi.

Msijisahaulishe gharama za maisha kupanda maradufu na kodi zisizokuwa za msingi.

Yapo mengi sana kwa kweli.

Msiwe wasahaulifu kiasi hicho.
 
Huko Mwanza alitoa sababu ya watu kutovunjiwa nyumba kisa ndiwo watu waliompa kura nyingi.
 
Kwa kuzidisha msisitizo,
- Kuna wafanyakazi wa serikali wana miaka zaidi ya 6 hawajapandishwa vyeo au kuongezewa mishahara,
- Nyumba zilizovunjwa maeneo Kimara huku amri ikitoka kuwa hakuna ruksa mtu kuvunjiwa nyumba huko Mwanza,
- Maafa yalitokea Kagera hakuna usaidizi kutoka Serikalini wa kueleweka, tena msaada wa kuwasaidia wahanga ukaelekezwa kwingine,
- Kuna mikoa hakuwahi kufika tokea achaguliwe,
Miaka mitano hakuna ajira ya kueleweka,
-TRA kuwa miungu watu,
-Boom vyuoni huko halieleweki,
-Watu wanapata ukame inaelezwa kuwa haukuletwa na CCM badala ya kusaidia wahitaji,
- Hakuna bunge live wakati huku michakato ya kura za maoni ukiwa live siku nzima wakati serikali iliyo madarakani ni ya CCM.

Wengine mnaweza kuongezea kwenye hii list ili tupatiwe majibu mwanana kabla ya kumpigia mtu kura.
Kwenye maafa hapo alisema si yeye aliye leta maafa hivyo serikali haiwezi kutoa msaada wowote badala yake zile pesa za msaada akazielekeza kwenye ujenzi wa barabara mahala pengine kabisa.
 
Acheni kumkweza huyu jamaa, Mkiruhusu uchaguzi huru na haki, watu wanaweza kumpa hata masanja mkandamizaji.

Mkuu tuache nongwa tu,maana hata mimi sio ccm ila kiukweli mkuu kwa sasa ukimtoa Magufuli ni nani unadhani unaweza ukampa nchi?

Nakumbuka nchi sio rais peke yake,leo hii umpe nchi mtu kama Tundu Lissu its ok anaweza kuwa rais mzuri lakini je chama anachotoka kuna watu wazuri wakuwaweka katika system ya nchi kama ilivyojijenga ccm?
 
Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, zile shida,manyanyaso, kauli zisizo faa mlizozipitia kuanzia tangu mwaka 2016 mpaka 2019 mwishoni.

Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona aisee hii nchi bwana haiishi vituko.

Msijisahaulishe kwamba hakukuwa na ajira miaka yote hiyo, msijisahaulishe zile nyumba zilizo vyunjwa kimabavu, msijisahaulishe kuhusu mambo ya watu wasio julikana maana yalishamiri sana japo kwa sasa yamepoa kidogo.

Msijisahaulishe kuhusu vijana wenu waliopo vyuoni kukosa mikopo licha ya kukidhi vigezo, msijisahaulishe kuhusu kuminywa kwa demokrasia hapa nchini.

Msijisahaulishe kuhusu zile kauli tata za mara kwa mara ambazo mara nyingi zilikuwa zinaleta maudhi.

Msijisahaulishe gharama za maisha kupanda maradufu na kodi zisizokuwa za msingi.

Yapo mengi sana kwa kweli.

Msiwe wasahaulifu kiasi hicho.
Hadi leo anawapiga biti wanaojipendekeza kujenga kwao,hapa Ni sababu ya uchaguzi umekaribia,
Miradi haikamiliki atatumia kutokukamilika kwa miradi aongeze mda.
Alichowafanyia waunga juhudi kawacha mataa hawana hamu.
 
Mkuu tuache nongwa tu,maana hata mimi sio ccm ila kiukweli mkuu kwa sasa ukimtoa Magufuli ni nani unadhani unaweza ukampa nchi?

Nakumbuka nchi sio rais peke yake,leo hii umpe nchi mtu kama Tundu Lissu its ok anaweza kuwa rais mzuri lakini je chama anachotoka kuna watu wazuri wakuwaweka katika system ya nchi kama ilivyojijenga ccm?
Mawazo mfu,
 
Back
Top Bottom