Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, Magufuli wa mwaka 2020 siye huyu wa miaka ya nyuma

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,361
21,042
Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, zile shida,manyanyaso, kauli zisizo faa mlizozipitia kuanzia tangu mwaka 2016 mpaka 2019 mwishoni.

Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona aisee hii nchi bwana haiishi vituko.

Msijisahaulishe kwamba hakukuwa na ajira miaka yote hiyo, msijisahaulishe zile nyumba zilizo vyunjwa kimabavu, msijisahaulishe kuhusu mambo ya watu wasio julikana maana yalishamiri sana japo kwa sasa yamepoa kidogo.

Msijisahaulishe kuhusu vijana wenu waliopo vyuoni kukosa mikopo licha ya kukidhi vigezo, msijisahaulishe kuhusu kuminywa kwa demokrasia hapa nchini.

Msijisahaulishe kuhusu zile kauli tata za mara kwa mara ambazo mara nyingi zilikuwa zinaleta maudhi.

Msijisahaulishe gharama za maisha kupanda maradufu na kodi zisizokuwa za msingi.

Yapo mengi sana kwa kweli.

Msiwe wasahaulifu kiasi hicho.
 
Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
aisee hii nchi bwana haiishi vituko.
They are stupid! alifnya nni kuhusu corona? It is only nature has taken its course to the better side without any man's initiative! Kuna kitu kinaitwa serendipity! ambayo ilikuwa very dangerous attempt!
 
They are stupid! alifnya nni kuhusu corona? It is only nature has taken its course to the better side without any man's initiative! Kuna kitu kinaitwa serendipity! ambayo ilikuwa very dangerous attempt!
Please use your head most of times not just sentiments
 
Ya siasa waachie wenyewe ila wewe tueleze kama uchebe na shilole wamerudiana?
 
Back
Top Bottom