Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, Magufuli wa mwaka 2020 siye huyu wa miaka ya nyuma

Magu anaweza kutawala tu mahali penye wajinga wengi basi, ndio maana hakuthubutu kamwe kwa miaka yote mitano kutoka nje na kwenda kukaa meza moja na wasomi wajadili mambo kwa hoja na uhuru. Alipokwenda SA, Namibia na Zimbabwe alipita tu wala hakuongea na waandishi wa habari wala bunge. Alitumia mda kigodo sana kuongea na marais wa huko wakiwa wamesimama.
Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, zile shida,manyanyaso, kauli zisizo faa mlizozipitia kuanzia tangu mwaka 2016 mpaka 2019 mwishoni.

Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona aisee hii nchi bwana haiishi vituko.

Msijisahaulishe kwamba hakukuwa na ajira miaka yote hiyo, msijisahaulishe zile nyumba zilizo vyunjwa kimabavu, msijisahaulishe kuhusu mambo ya watu wasio julikana maana yalishamiri sana japo kwa sasa yamepoa kidogo.

Msijisahaulishe kuhusu vijana wenu waliopo vyuoni kukosa mikopo licha ya kukidhi vigezo, msijisahaulishe kuhusu kuminywa kwa demokrasia hapa nchini.

Msijisahaulishe kuhusu zile kauli tata za mara kwa mara ambazo mara nyingi zilikuwa zinaleta maudhi.

Msijisahaulishe gharama za maisha kupanda maradufu na kodi zisizokuwa za msingi.

Yapo mengi sana kwa kweli.

Msiwe wasahaulifu kiasi hicho.
Na kuna watu wanataka atawale miaka milele Hawa ndo wasaliti wa inchi magu hii miaka mi5 Ina mtosha anatakiwa kupumzika
 
Mkombozi wetu yu hai
Tundu_A._M._Lissu.jpeg
 
Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, zile shida,manyanyaso, kauli zisizo faa mlizozipitia kuanzia tangu mwaka 2016 mpaka 2019 mwishoni.

Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona aisee hii nchi bwana haiishi vituko.

Msijisahaulishe kwamba hakukuwa na ajira miaka yote hiyo, msijisahaulishe zile nyumba zilizo vyunjwa kimabavu, msijisahaulishe kuhusu mambo ya watu wasio julikana maana yalishamiri sana japo kwa sasa yamepoa kidogo.

Msijisahaulishe kuhusu vijana wenu waliopo vyuoni kukosa mikopo licha ya kukidhi vigezo, msijisahaulishe kuhusu kuminywa kwa demokrasia hapa nchini.

Msijisahaulishe kuhusu zile kauli tata za mara kwa mara ambazo mara nyingi zilikuwa zinaleta maudhi.

Msijisahaulishe gharama za maisha kupanda maradufu na kodi zisizokuwa za msingi.

Yapo mengi sana kwa kweli.

Msiwe wasahaulifu kiasi hicho.
Huna hoja
 
Mtu yeyote anayetoa mtazamo hasi tu wakati kuna mazuri mengi tu hataki kuyasema ili watu wapime mzani unaangukia wapi mtu huyo ni fake. Na mtu asiyeweza ku conceptualize yaliyokuwa yanafanywa katika awamu ya nne na hatima ya taifa aidha ni mburura ama ni mtu anayelelewa .

Kwa heri.
 
Usinifokee.
 
Back
Top Bottom