Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.
Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.
Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.
Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.