Watanzania hatuna Shukrani. Kuna Kipindi Tushukuru kwa haya

Asili ya mwanamke hasa wa kisiwani ni maneno, mdomo, misema, vijembe lakini utendaji waachiwe wanaume wanawake hata vitabu vya Mungu haviwakubali.
Vitabu gani hivyo vya dini visivyowakubali wanawake. Maria mtakatifu mama wa Mungu alikuwa mwanaume? Yule queen of sheba alikuwa mwanaume? Wanaume tiacheni ubinafsi
 
Ndiyo maana Dkt Magufuli aliwahi kunena, ukiona wapinzani wanakusifia ujue kuna mahali umekosea. Tatizo la wapinzani wetu wanaleta siasa za uanaharakati Tanzania badala ya kuangalia nature ya mazingira yetu na kuendesha siasa kulingana na tamaduni zetu. Mbowe ni moja ya viongozi wabovu sana, Dkt Slaa ndiye alifahamu namna ya kuongoza upinzani, nadhani yale mafunzo yake yalimsaidia sana, Mbowe elimu nadhani ni tatizo, na mpaka sasa bado anatembelea nyota ya Dkt Slaa, yaani anadhani anaushawishi, ngoja apigwe mvua ili akome
Tatizo linaanzia hapo, kudhani nchi ni Mali ya Serikali! Tatizo linaanzia hapo kudhani nchi na haki za raia ni hisani ya Rais au Kiongozi fulani au Polisi! Tatizo linaanzia hapo kudhani Uzalendo ni kuwa CCM! Tatizo linaanzia hapo, kudhani Uzalendo ni kutoikosoa Serikali na kutokuwawajibisha viongozi.

Hapo ndo matatizo yetu kama nchi yalipo. Ni matatizo ya fikra. Thus why mtoa post anashangaa ni kwa nini kila kiongozi anakosolewa.

Kukosoa na kuwawajibisha Viongozi ni wajibu wa Rai ndani ya nchi ya kidemokrasia. Kama hutataka kukosolewa basi fanya shughuli zako binafsi na uachane kabisa na Uongozi wa umma.
 
Hapana anayedhania hivyo kama unavyofikiri. Tanzania ni yetu sote. Kibaya ni kuendekeza mawazo ya kikoloni, yaani ninyi mnaiona CCM kama wakoloni badala kuwachukulia kama partners in development nyie CCM mnawachukulia kama adui wenu mnayetakiwa kumuangamiza matokeo yake mnaangamia wenyewe. Upinzani Tanzania bado sana, pana hitajika wapinzani wenye maono, wapinzani watakaokuja na mawazo mbadala kama Dkt Slaa. Tunahitaji upinzani ambao utaomboleza na sisi watanzania tunapopoteza rais wa nchi. Tunahitaji wafariji pale tunapopata msiba wa taifa. Tunahitaji mbadala wa njia za kuipeleka Tanzania uchumi wa kati na siyo kikundi cha kupanga maandamano. Tunahitaji upinzani unaoheshimu viongozi na si kuwatisha kuwanyoa eti kwa wembe, tena unaongea kwa kujiamini eti aliyekufa ulimnyoa kwa wembe ina maana ulihusika na kumuua??? Kifupi kifo cha Dkt Magufuli kimewaacha uchi wapinzani wa nchi hii kuanzia Zitto n.k. Mlidhani wasaidizi wa taasisi ya rais wanawachekea kumbe la hasha, waliwarekodi mashangilio yenu yote na sasa kizazi chenu chote mlishajifuta kwenye utawala wa hii nchi.
 
CCM haioni kama hii nchi ni ya watanzani wote isipokuwa watanzania wale tu wanaokuwa upande wa CCM ndio wanaostahili kunufahika na matunda ya nchi. Sasa hiyo partnership inatoka wapi.

Pili, nchi huru inaruhusu wenye vyama wasiokuwa na vyama wote kuishi huru kushiriki kwenye maamuzi sio lazima niwe CCM, CHADEMA, CUF, nk.

Tunachohitaji hii nchi hiwe minononi mwa wananchi. serikali ni watu tuliowapa kazi, kutusimamia, tuwe tuna uwezo wa kuwawajibisha pale wanapoenda kinyume na utaratibu tulioweka kulingana na matakwa ya KATIBA MPYA (,SIO hii ya sasa).

TUNAHITAJI KATIBA MPYA
 
Hoja zenu ni muhimu sana ila namna mnavyoziwakilisha mnakosea sana. Mzee Kikwete aliwapa mnachotaka, hamkuridhika (kuanzisha mchakato wa katiba). Akaja Dkt Magufuli akawapa mnachotaka (kupambana na rushwa bila kuangalia u CCM) bado mkambatiza majina ya ajabu mpaka kifo chake mnajisema nyie wapinzani mmehusika (mfuasi wenu mdude alisema alimnyoa wembe JPM hivyo atamnyoa na Mama). Sasa Mama kaja akawaambia jamani tuwe wamoja, nyie mnaanzisha varangati ili kumtoa kwenye mstari tena kibaya kumbe mnavikundi vya ugaidi. Inasikitisha sana. CCM tunawapenda wote
 
swala la kiongozi kusemwa kutukanwa huwezi kuleipuka kama hutaki kusemwa hachia hiyo nafasi wafanye wengine. RAIS unaogopwa kutukanwa( ajabu sana hii) usipotukanwa hadharani, watakusema pembeni, lakini utasemwa tu kwa KIONGOZI.

Pili, Hii ndi SHIDA inapoanzia mnadhani, ni hisani ya RAIS kutaka au kutotaka mabadiliko ya KATIBA, swala la mabadiliko ya KATIBA ni mchakato wa kudumu sio swala la mara moja, siku zote maboresho lazima yafanyike kulingana na mabadiliko ya nyakati kwa sababu za ndani na nje ya nchi.

IKEWEKE kwamba hata katiba hii ikibadilishwa sio MWISHO Itapohitajika TUTABADILISHA TENA, hii ni nchi yetu viongozi ni WANANCHI wenzetu Haijalishi n nani, HIZO FIKRA unazozubgumzia hapo ni kutokana na MAPUNGUFU ya katiba ndio maana VIONGOZI wanajiona MIUNGU watu watupe au wasitupe, wafanye au wasifanye.
 
Back
Top Bottom