Watanzania Abroad mnani??

Not everybody is a bad guy but not all guys are good. Use this principle to choose your friends, U'll be in free stress zone. Having common origin as citizens does not earn us automatic friendship. I am fully responsible for my life and not somebody's life.
 
Njaa tu ndo inaleta majungu na fitna. Ukishakuwa na hela ukawa bize na kazi zako huo muda wa gutna na majungu utautoa wapi? Tatizo kubwa ni nzala!
 
Thanks.......I learn from my Mistake.....

You seem to think there's something unique in ur heart, I should care about; u had respectful and intellectually serious conversation. mwingine angeishia kutukana hata kama kakosea! i like that!
 
You seem to think there's something unique in ur heart, I should care about; u had respectful and intellectually serious conversation. mwingine angeishia kutukana hata kama kakosea! i like that!

Hapana nisingeweza kufanya hivyo....Nimekosea napenda kusahihishwa...na sio kujifanya mjuaji

Thank you for the appreciation
 
odo shikamoo nlikuwa nataka tu uhakika loo japo Mrembo by Nature hajanijibu ila PLL kanijibu sa ukifanya research kwa kutumia mangelicious na sintalicious eti odo utapata jibu gani??

Je ulishawahi fanya tafiti yoyote? kwa taarifa yako kuna formal na informal sources za data. Mara nyingi informal ways ndio zinakupatia data kuliko hata formal......sikujibu mwanzoni kwani niliona kama uliuza rhetorical question. Imenibidi kujibu baada ya kuona kwamba ulishindwa kulitambua hlo.
 

Mi nadhani hizo ni story na Imani za watu!!Kwa upande wangu nawatafuta kweli wa Tz maana kuna muda huwa natamani kua karibu na mtu wa kupiga nae story kinyumbani..Those ppo who r doin such kind of business r Crazy. (Duh wabeba box na walea vibibi ha ah ah ah ah)
 

Maelezo yako yanaweza kuwa na ukweli, haswa kwa upande wa wanawake. Watu wanaofanya mambo ambayo ni fedheha kwenye utamaduni wa kitanzania hao ndio ambao wanawaona watanzania wenzao ni nuksi.

Nakumpa mfano halisi, nilipata kazi kwenye kampuni moja ambapo kulikua hakuna mwafrika yeyote isipokuwa dada mmoja wa kitanzania ambaye mume wake pia ni mtanzania na wanakaa wote. Nilipoanza kazi pale yule dada hakupenda kabisa, akawa ananichongea kwa mabosi nifukuzwe. Kweli alikuwa ananiona mimi Nuksi na sababu nilikuwa siijui kwa sababu sikuwahi kumkorofisha na wala sikua na ugomvi nae. Sasa co-worker mmoja akawa ananiuliza ni kwa nini sisi tumetoka nchi moja lakini mwenzangu ananichongea nifukuzwe? Hatukupata jibu kwa siku hiyo.

Baada ya siku chache nikagundua kuwa pale kazini kuna vidume vinamfanya-fanya, vinapokezana na status yake kazini yeye ni single hajaolewa.
Kumbe alihisi mimi nitapeleka habari kwa wabongo, wakati nisingesema mambo ambayo hayanihusu.

Kwa kifupi mtu wa (abroad/overseas)anayewaona watanzania wenzake nuksi, mara nyingi yeye ndie huwa mwenye tatizo.
 
Mrembo by Nature Hii ndiyo sababu kubwa aliyoieleza Fixed Point, nimem-quote hapo. I have several vivid examples, wengi wanakwepa macho ya wabongo wenzao na habari zao kusambaa huko walipo na kwa tanzania pia.

Sasa wewe umeandika fact. Fact haijadiliki, hicho ndicho haswa wanachokwepa. Mtu ambaye anafanya mambo yake kwenye mstari mnyoofu, hatokuwa na cha kuogopa.
 
Mwali I missed you.........am glad your back........

Ni kweli kabisa ...........epukana nazo hapa am speaking from experience.......

Missed you sana pia! Ninerudi nakuona so active you have taken majukwaa ovet with funny threads. Lol
Nipo mobile, sipati notification ya mentions wala thread tags. Naona mambo mengi yananipita 🙁:thumbdown:
 
Mrembo by Nature waswahili wanasema lisemwalo lipo huenda kuna ukweli hata kama mdogo ktk hayo uliyosikia. Nafikiri si wote na nataka kuamini kwamba si wote wenye majungu. Hata wanaoenda china husema haya haya kwamba watz ukiwakuta huko hata msaada hawakupi na ni wa kwanza kukukwepa. Sasa kama stori hizi tunazisikia tukiwa hapa bongo basi upo ukweli ktk hili kwa hao wanaoishi huko majuu. Najua umependa kuzungumzia watz na hukutaka kuongelea mataifa mengine ingawa na wao kwao majungu yapo.
 
kwa majuu sijui sehemu nyingine ila huku wabongo wako friendly kinoma na wanakula bata sana kujichanganya na raia, mara nying meetings zinafanyika na wanaenjoy tu
 

mydear... Mambo kwanza!
Pili kuhusu Mada alosema Mange ni ukweli mtupu MNO!
Namshukuru Mungu, me sipo nao karibu kwakweli, nilimzoea mmoja cos he was dating myfriend ila baada ya kuachana ye na kundi lake woooi.... Bas kabisa.
Me FIRST of all... Ili kupanua upeo na kujiendeleza kiakili,na kujua mambo mengi haina maana kujimix na wale wale ambao kibongo unawajua..hutajifunza kitu.

PILI,;Umbea- mtu asikujue kwako ama asimjue bwanako ama mkeo,atatoa sifa mbaya za kikabila anakubinafsishia!

Ushirikina: yani hii ipo tuu makazini umo, kukamata mabwana,kuiba kwa credit cards na kuiba stores usikamatwe at the end unatiwa nux tuu.

Competition za kijinga: hii inatokana na wivu mbaya, huyu anajenga Bongo,huyu kambeba Michael cors,sijuw miu miu,kavaa Cl,wig remmy orijinal, kesho unakuta kwenye blogs ohh she is fake,mara oh kanunua onsale, yani its nonsense,inshort inakera tuu..wataanza chuki kusemana nanini.. Bora ukae na hao wengne mataifa mengine akikusema haiumi mnaachana kimjin ila mbongo unajua mnakuwa mna ile ideology kuwa ni ndugu eh.

Wizi wa watu: wadada kuiba mabwana,wakaka ndo malaya balaa! Yani nawaonea sana huruma wanawake bongo et nna mume ama bf Ughaibuni!!! Tobaaa!!! Aisee wapo wachache mno ila wengi waroho hwaridhiki! Wanaonja mataifa yote!
Hao wanawake ndo Cheeeeeaaap and desperate(sio wote).
Yani ndomana wanawake humu wenye waume zao wapo very insecure,ukimchekea mme wake lazima akuulize!! Kwi kwi kwi...
Shughuli zao full kuwakamata kama walet.ila ndo ishakuwa sugu tena!!!

Then Kubebeshwa mizigo ukirudi bongo af uambulie lawama za kijinga. Unamuaga mtu vizuri anakupa zawadi unafikisha ila ili ajioneshe kwa ndugu zake kuwa alinunua zaidi anasema mzigo umefunguliwa bas tuu wamuone yupo juu.

Yani inshort,nchi yoyote ukienda wenyeji wanakwambia karibu ila kaa mbali na watu wa nchini mwako,msigombane muwe company tuu hi hi ukifa usafirishe nanini,ila ule ushoga NO
Then kuna usemi unasema adui yako nchi ya ugenini ni mwezio kutoka nchini kwako.
 

Hizo Blog zako zimekudanganya,.Wa TZ ni watu wanaojitahidi sana ktk ushirikiano,Ila umaskini tu ndo unaotuangusha ..Nikupe Home work,"Chunguza maisha ya Wachina wanaoishi na kupiga Dili Bongo".Utagundua kitu!
 

Hapa umenena!! heri yako umekuwa muwazi, achana na hawa waosha vinywa wanaojifanya kuwa vile wasivyo. Kumbe na chuki binafsi huwa zimo? hahaha hata hawajui hata vidole vya mkono mmoja haviwezi kufanana/kulingana?, na usimuingilie aliyepewa kapewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…