Watanzania Abroad mnani??

Watanzania Abroad mnani??

ukiwa mtu wa majungu kila utakapo kwenda utakumbana na wa majungu

ukiwa mtu safi,utakumbana na watu safi wenzio
 
What do you mean kibongo bongo (yaani huku home) wabongo ni nuksi? Chunguza entourage yako maana wadhungu wanasema birds of a feather...

upoo?

birds of the same feather?
 
ushamba tu dear ..unakimbia ndugu zako kisa kusemwa? kwanza kwa nini uhisi utasemwa? ...kujiona kusipo na maana...
ndo maana nikasema kuwa mtu wa hivyo ana matatizo yake na hataki wengine hasa waTanzania wajue.
 
shosti hizo blog ndo za kina sintalicious,mange mbutananga eti hizo ndio ulizotumia kwenye utafiti eeee?

Eeh ndo izo zimetumika ktk research amu...na ndo zimetoa hayo majbu
 
ushamba tu dear ..unakimbia ndugu zako kisa kusemwa? kwanza kwa nini uhisi utasemwa? ...kujiona kusipo na maana...
Na kwann usemwe wewe asisemwe mwingine?lazima kuna vitu unafanya kwahyo unawapa watu sababu ya kukuangalia na kupata cha kusema,ila kama hauna makuu na ni mtu wa watu hawatapata cha kusema...so ukisemwa jitazame kwa jicho la tatu..
 
ndo maana nikasema kuwa mtu wa hivyo ana matatizo yake na hataki wengine hasa waTanzania wajue.

Hata kama ana matatizo yake, bado si sahihi na bado ni dhana potofu kudai kwamba 'wabongo' wengi ni wapika majungu na wambeya kana kwamba hizo tabia hazipo kwa watu wa mataifa mengine.

Suala la kutaka au kutotaka fulani na fulani wasijue hilo ni jingine kabisa. Sasa hilo suala linapofanywa kuwa kama vile linahusiana na utaifa wa mtu hapo ndo watu wanapopotoka.

Kuna wazungu Wamarekani wambeya, kuna Wahindi wa Kenya wapika majungu, kuna Wajamaika wenye roho nyeusi, kuna Watanzania waishio majuu ambao siyo wambeya, nuksi, wala wapika majungu na wanajichanganya na Watanzania wenzao na hufanya kila jitihada kuwaepa watu wenye tabia za hivyo bila kujali kabila, utaifa, rangi, dini, wala mielekeo ya kijinsia na kadhalika, na kadhalika.
 
thread closed maana generalization ndio baadhi ya wabongo washazoea..
 
Mmesahau jambo moja kuu ya kwamba watanzania tuna umoja na mshikamano hivyo haiwezekani jambo litokee kwa mtanzania mmoja Watanzania wengine wasijue.Ni tofauti na nchi nyingine ambako kila mtu yupo kivyake na wala hawezi hata kukukaribisha kwake.Mfano usitegemee ukawa na rafiki Mganda halafu akakukaribisha kwake Wakenya nao hali kadhalika.Wazungu ndo usiseme HAYO MAJUNGU YATATOKA WAPI?Majungu ni kiashiria kwamba watu wanaushirikiano maadam tu hayapelekwi kwa adui zako.
 
Hata wazungu wana majungu na umbeya mwingi tu.

Hivi unadhani hiyo mi-tabloids yote kazi yake nini kama si kuandika umbeya?

Mbona watu mnakuwa ignorant hivyo? Watu wana umbeya hadi wametengeza fursa za kujipatia kipato na kutajirika kutokana na huo huo umbeya ambao watu mnadai wazungu hawana.

Hivi mshawahi kuishi na wazungu kweli nyie?
 
Create an invisible wall around you in order to protect the sanctity of your being. Strengthen your beliefs and strive to move positively in a forward and more successful direction. Do not allow yourself to be caught in self doubt and conflicting ideals which others try forcing onto you. In simple terms, learn to ignore negative and damaging comments made against you. At the back of your mind, adopt the notion that people are entitled to their own opinions but equally you too have the right to filter or discard negatively targeted opinion.
 
Hata wazungu wana majungu na umbeya mwingi tu.

Hivi unadhani hiyo mi-tabloids yote kazi yake nini kama si kuandika umbeya?

Mbona watu mnakuwa ignorant hivyo? Watu wana umbeya hadi wametengeza fursa za kujipatia kipato na kutajirika kutokana na huo huo umbeya ambao watu mnadai wazungu hawana.

Hivi mshawahi kuishi na wazungu kweli nyie?

Au labda wazungu hawa pay attention sana na waafrica?
sawa na wamachinga wakija Dar waswme watu wa Dar wako poa sana
kulinganisha na wao kwa wao?
 
Bossman, nakuhakikishia kuwa wazungu are just as bad as everyone is when it comes to busyboding (to coin a word).

Na wao ndo pioneers wa tabloid journalism. So it absolutely has nothing to do with nationality, race, gender, or creed.

It is a universal thing.
 
Hata wazungu wana majungu na umbeya mwingi tu.

Hivi unadhani hiyo mi-tabloids yote kazi yake nini kama si kuandika umbeya?

Mbona watu mnakuwa ignorant hivyo? Watu wana umbeya hadi wametengeza fursa za kujipatia kipato na kutajirika kutokana na huo huo umbeya ambao watu mnadai wazungu hawana.

Hivi mshawahi kuishi na wazungu kweli nyie?

mhh naona povu linakutokaa asemayo mleta mada ni kweli labda ww kuna kitu 'naficha..... nimekaa nchi fulan huko ulaya kwa kweli wakuja wenzetu watz wanamajungu wivu umbea na choyo sio sori wakat mwingine c rahic kujitambulisha mtz.. ukimwalika mtz kwako kama una vitu vitu vizur bas atasikia wivu sana na km huna pia atakuseeema mpk basa na kutambiana kazi pia maana wengine kaz wafanyazo mbele zinadhalilisha utu wao hivyo huogopa zisijulikane halafu baya zaid watz weng hujitambulisha wao ni wakenya kisa tz inadharaulika na haijulikan @ nyani ngabu najua huwez pinga ninepitia life hilo na sina hamu.tena.
 
Labda wewe na hao Watanzania wenzio huko ulikokuwa ndiyo mlikuwa na tabia hiyo.

Na hiyo haina maana wa Sierra Leone hawana tabia kama hizo au Wajerumani hawana tabia kama hizo.

Tabia za mtu ni za mtu. Kama wewe tabia yako ni ya hivyo na ni Mtanzania haimaanishi na mimi nina tabia kama zako, period, end of sentence!
 
Bossman, nakuhakikishia kuwa wazungu are just as bad as everyone is when it comes to busyboding (to coin a word).

Na wao ndo pioneers wa tabloid journalism. So it absolutely has nothing to do with nationality, race, gender, or creed.

It is a universal thing.

nakubaliana na wewe 100 %
my point hapa ni kuwa watu wanaojuana ku share vitu
kama culture na langauge ndo wanakuwa so close hadi baadhi ya vitu
kama umbea na majungu vinajitokeza..

hali ni tofauti kama kuna langauge barrier na culture barrier

so mbongo akienda ugenini popote anaweza waona watu hao ni perfect
simply sababu assimilation ni ndogo sana...na anaweza observe wabongo wenzie simply sababu
hakuna barriers hizo...ingawa wato wote ni sawa kitabia..
 
Got you loud and clear.
 
.. kusengenya au umbea ni hulka na sidhani inasababishwa na utaifa wa mtu, bali mazingira anayoishi na pia background yake!
.. watz wanasemekana sana kuwa na katabia hako, labda ndo mazingira wengi tuliokulia ila nadhani kama umejichanganya na waafrika utaelewa kuwa si tatizo la watz pekee, waafrika wengi wana katabia hako!
.. Mrembo by Nature siku ukienda kubeba maboksi jaribu kujichanganya na wadhungu, hakika utapata picha nyingine ya hawa watu. Hata wao wanasengenya, wanasemana na pia ni wambea! (binamu yangu ndo kasema haya, nae anabeba zege huko)

Ukikutana na wakenya, wanigeria, waethiopia, wasenegali, latinos, caucasians etc. nao hulalamika kuhusu the same thing.
Kama alivyosema Nyani Ngabu hii haijalishi utaifa wa mtu bali ni tabia binafsi.
Kuhusu umbeya na talking behind your back hakuna watu wanaongoza zaidi ya wazungu. Bora hata mnugu atakwambia anything on your face. Nayaona hayo maofisini kila siku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom