Watanzania Abroad mnani??

Watanzania Abroad mnani??

Hii ina ukweli kwa sababu hata ukiangalia hapa Bongo asilimia kubwa ya watanzania majungu na umbea ni jadi yao na ndiyo maana hata wakienda nje wanazidi kuendekeza ujinga ule ule.
Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!
 
Hata watu wa mataifa mengine nao wanao huo ufukunyuku. Tembeeni mjionee. Sio wabongo tu
 
Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!
Ila kukwepana ndio mpango , maana kazi nyingi za majuu kama unavyojua zilivyo lazima mtu ujifiche sasa ukikutana na anayekufahamu na akaleza ukweli hasa kwa watu wa home, ndio hayo maugomvi yanatokea, ila mtu wa mataifa mengine hata akisema kwao hakuna shida maana hawakujui, nadhani shida ndio inaanzia hapo, ila maisha hasa kwa waafrica wengi ni sawa tu nimebahatika kuishi na baadhi , tena wengine wanaangalia kuanzia uvaa wako,
 
Inategemea una deal na watu wa class gani.

Unaweza kujichanganya na kina Shanikwa huko ukakuta ndo kuna umbeya na ma beef kuliko wabongo.

Na unaweza ku deal na class ya wabongo waliotulia na kustaarabika kitambo.

I don't go out of my way to meet wabongo just because they are from bongo.

And similarly, I don't go out of my way to avoid meeting wabongo, just because they are from bongo.

I treat all people with a sober equanimity like the scales of a magistrate.

And discern according to the content of their character, not the creed of their nationality.

Huu ndio ukweli. Mbona mi nin marafiki wengi hapa nyumbani na sio wambea? Yani sijawahi gombana na ndugu yangu au rafiki yangu kwa sababu kanisema au nimemsema.
Ndio maana nimemshahuri mtoa mada aangalie entourage. Na pia someone who doesn't know any of your embarrassing secrets cannot reveal it. Kama some of your friends hawakwepeki basi chagua maneno ya kuwaambia. Sio kila kitu facebook na instagram.
Mwisho kabisa kama mtu akiwa huku kazunguukwa na wambea, akitoka nje ya nchi bado kazuunguukwa na wambea basi ajichunguze yeye kwanza. Kuna lifestyles ambazo zinahamasisha umbea.
 
Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!

Si unaone enheee mimi49
 
Last edited by a moderator:
hahahaha leo wabeba box wanakana wakati ndio hawa hawa wanatiririka huko kwenye bulogu za mjini kila kukicha. Kweli wabongo noma. Sasa ni akina nani wanatiririka huko kama hapa kila mtu ni mwema??? Endeleeni kujadili nitarudi badae.
 
Hizo blog za mujini zinatembelewa na wambea naona. Maana maudhui ya blogu zenyewe naskia zimekaa kiumbea umbea. Hapa kuna mchanganyiko wa watu wengi ndio maana unapata views tofauti.
 
Maisha ya binadamu yamejaa kuzungumza na kuzungumzwa, afadhali wabongo wazungu ni balaaaaaaaa amini usiami wazungu ni balaa linapokuja suala la kusengenyana!!!!!!!!!! but if you raise up above majungu utaendelea na maisha yako. Kuna watu husema kuwa wanawakimbia wabongo eti wanataka kuishi na wazungu wakakwepa umbea, hawa ni watu wabaguzi wanawabagua ndugu zao kwa kudhani kuwa kundi la weupe litawa-embrace na kuwafanya wenzao, huko ndo wanasemwa hadi aibu hata akikohoa tu ni simu kila mahali kusimulia hilo tukio. Umbeya huenda ikawa ni hulka ya binadamu ila kuwabagua wabongo nawe mbogo ni dhana ya kudhani kuwa wewe ni bora kuliko!!!!!!!!!!
 
Where have u been? Missed here!

What do you mean kibongo bongo (yaani huku home) wabongo ni nuksi? Chunguza entourage yako maana wadhungu wanasema birds of a feather...
 
Huu ndio ukweli. Mbona mi nin marafiki wengi hapa nyumbani na sio wambea? Yani sijawahi gombana na ndugu yangu au rafiki yangu kwa sababu kanisema au nimemsema.
Ndio maana nimemshahuri mtoa mada aangalie entourage. Na pia someone who doesn't know any of your embarrassing secrets cannot reveal it. Kama some of your friends hawakwepeki basi chagua maneno ya kuwaambia. Sio kila kitu facebook na instagram.
Mwisho kabisa kama mtu akiwa huku kazunguukwa na wambea, akitoka nje ya nchi bado kazuunguukwa na wambea basi ajichunguze yeye kwanza. Kuna lifestyles ambazo zinahamasisha umbea.

Mwali I missed you.........am glad your back........

Ni kweli kabisa ...........epukana nazo hapa am speaking from experience.......
 
kila mmoja anamuona mwenzie mbaya, mbea na mnafiki. sijui nani ni mzuri. cha msingi ni kuishi uwezavyo bila kuvunja sheria tu za nchi. msije mkarudishwa mavumbini bure. lol
 
oddo nawe una mineeeeeeeeeeeeeeeeeeeno!
sa ndo nini!

odo shikamoo nlikuwa nataka tu uhakika loo japo Mrembo by Nature hajanijibu ila PLL kanijibu sa ukifanya research kwa kutumia mangelicious na sintalicious eti odo utapata jibu gani??
 
Last edited by a moderator:
hahahaha leo wabeba box wanakana wakati ndio hawa hawa wanatiririka huko kwenye bulogu za mjini kila kukicha. Kweli wabongo noma. Sasa ni akina nani wanatiririka huko kama hapa kila mtu ni mwema??? Endeleeni kujadili nitarudi badae.
Kila mtu anamalengo yake kwa wabebeba mabox tatizo unapitia blogs za walio kuja kupiga picha na kuweka kwenye facebook, blogs au mitandao mingne yakijamii, ndio maana unapata mtazamo tofaouti
 
Back
Top Bottom