Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!Hii ina ukweli kwa sababu hata ukiangalia hapa Bongo asilimia kubwa ya watanzania majungu na umbea ni jadi yao na ndiyo maana hata wakienda nje wanazidi kuendekeza ujinga ule ule.
Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!
Kweli kabisa wazungu wenyewe wadaku usiombeee....Hata watu wa mataifa mengine nao wanao huo ufukunyuku. Tembeeni mjionee. Sio wabongo tu
Ila kukwepana ndio mpango , maana kazi nyingi za majuu kama unavyojua zilivyo lazima mtu ujifiche sasa ukikutana na anayekufahamu na akaleza ukweli hasa kwa watu wa home, ndio hayo maugomvi yanatokea, ila mtu wa mataifa mengine hata akisema kwao hakuna shida maana hawakujui, nadhani shida ndio inaanzia hapo, ila maisha hasa kwa waafrica wengi ni sawa tu nimebahatika kuishi na baadhi , tena wengine wanaangalia kuanzia uvaa wako,Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!
upoo?
birds of the same feather?
Inategemea una deal na watu wa class gani.
Unaweza kujichanganya na kina Shanikwa huko ukakuta ndo kuna umbeya na ma beef kuliko wabongo.
Na unaweza ku deal na class ya wabongo waliotulia na kustaarabika kitambo.
I don't go out of my way to meet wabongo just because they are from bongo.
And similarly, I don't go out of my way to avoid meeting wabongo, just because they are from bongo.
I treat all people with a sober equanimity like the scales of a magistrate.
And discern according to the content of their character, not the creed of their nationality.
upoo?
birds of the same feather?
Naunga mkono na mguu yaani ufukunyuku hauishi,hata ukijaribu kuwakwepa ndo watataka kukujua kwa undani zaidi lol!!Ndio maana tunakuwa hatuendelei kwasababu tumejawa na chuki na ubinafsi,mtu hapendi kuona mwenzake kaendelea blah blah chungu nzima!!
hahahaha leo wabeba box wanakana wakati ndio hawa hawa wanatiririka huko kwenye bulogu za mjini kila kukicha. Kweli wabongo noma. Sasa ni akina nani wanatiririka huko kama hapa kila mtu ni mwema??? Endeleeni kujadili nitarudi badae.
Folk together!
Nipo Boss wangu. Kwanza nakutafuta. Naomba tuwasiliane kwa njia zile tunazo zijua sisi. Karibu.
What do you mean kibongo bongo (yaani huku home) wabongo ni nuksi? Chunguza entourage yako maana wadhungu wanasema birds of a feather...
Huu ndio ukweli. Mbona mi nin marafiki wengi hapa nyumbani na sio wambea? Yani sijawahi gombana na ndugu yangu au rafiki yangu kwa sababu kanisema au nimemsema.
Ndio maana nimemshahuri mtoa mada aangalie entourage. Na pia someone who doesn't know any of your embarrassing secrets cannot reveal it. Kama some of your friends hawakwepeki basi chagua maneno ya kuwaambia. Sio kila kitu facebook na instagram.
Mwisho kabisa kama mtu akiwa huku kazunguukwa na wambea, akitoka nje ya nchi bado kazuunguukwa na wambea basi ajichunguze yeye kwanza. Kuna lifestyles ambazo zinahamasisha umbea.
oddo nawe una mineeeeeeeeeeeeeeeeeeeno!
sa ndo nini!
oddo nawe una mineeeeeeeeeeeeeeeeeeeno!
sa ndo nini!
Kila mtu anamalengo yake kwa wabebeba mabox tatizo unapitia blogs za walio kuja kupiga picha na kuweka kwenye facebook, blogs au mitandao mingne yakijamii, ndio maana unapata mtazamo tofaoutihahahaha leo wabeba box wanakana wakati ndio hawa hawa wanatiririka huko kwenye bulogu za mjini kila kukicha. Kweli wabongo noma. Sasa ni akina nani wanatiririka huko kama hapa kila mtu ni mwema??? Endeleeni kujadili nitarudi badae.
tuko tofauti I choosed my Own life kila mtu na maisha yake wananitafuta yangu